Yuko wapi IGP mstaafu Omary Mahita?

Yuko wapi IGP mstaafu Omary Mahita?

Huyu Mbabe sijamsikia kwa kipindi kirefu, mwenye kujua taarifa zake aje atujuze.

Amekukosea nini mzee wa watu??au alishawahi kukufanyia ubabe gani??usitafute kiki kwa kupitia migongo ya watu wasiokuhusu
Ndio nyie mnaotafata fata watu mkipigwa Pala kimya kimya mnasema mmetekwa
Mkihojiwa mateso mlioyapata hamyaelezi wala hamwataji watekaji.kisaaa,!!!!!!
Mmeliwa Wali Mchuzi Juu
 
Yupo mzima wa afya! Very strong Kabisa. Jumamosi iliyopita amenikuta CRDB pale Moro. Anaonekana nadhifu, confident, strong na very tender.
 
Enzi za Mahita ukisikia helicopter angani mji kasoro unajua Mahita huyo kaja watu walikuwa anakula ubwaubwa wa bure maneno ya mafiga mtaa wa ccm
 
Lizinzi liliacha mtoto kila mkoa afu likawatelekeza ukiwaona sio kwa kulifanana hivyo.
Sifa ya pili JIZI lilishirikiana na wezi kuhujumu Taifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom