SENZANGAKONA
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 278
- 212
Yupo Mombasa mazizini
Unafukua piramidi (Pyramids) mkuu. Acha kabisa.Kati ya ma IGP wa hovyo waliowahi kutokea ni huyu Mzee.
Mzee wangu mmoja marehemu enzi hizo akiwa "mzee wa kazi" alikuwa rafiki sana wa huyu jamaa.
Kwa kifupi alikuwa na urafiki sana na "wazee wa kazi".
Huyu mzee alinishangaza sana mwaka 2004 Indonesia ilipokumbwa na tsunami aliposema seriously kwamba nchi hiyo imekumbwa na tsunami kwa sababu wanaendekeza sana ngono.
huyu baba jaman huwa namfikirianashindwa mmaliza! kakanyaga km beki 3 km7 za pale mtaan kwao! yaan akukute hata barabaran saa 1 asbh atasimama na kuomba namba yako.. anakula wanawake wanaoirahsi uwiiiiiiii kifupi anakula wanawake wa ajabu kuwah kutokea aic! huwa simsalimii mie..pyeeeee
Na wewe wewe alikuomba??!!!
Kawaida yetu Waislamu tunapo staafu hatunaga Mbwembwe.
Wa sasa vp mkuuJamaa alikuwa amekaa kimafiamafia, nashangaa maIGP sahivi warembo tu hata huwezi dhani maIGP, kama yule Mangu alikuwa mpole sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Beki tatu wanawake wa ajabu eh? Inaelekea hujii tofauti ya kuku wa kienyeji na mabroiler!huyu baba jaman huwa namfikirianashindwa mmaliza! kakanyaga km beki 3 km7 za pale mtaan kwao! yaan akukute hata barabaran saa 1 asbh atasimama na kuomba namba yako.. anakula wanawake wanaoirahsi uwiiiiiiii kifupi anakula wanawake wa ajabu kuwah kutokea aic! huwa simsalimii mie..pyeeeee
Nilimsikia kwenye tv mkuu nikamshangaa mno.hahhaha hii ndo naiskia kwako!hatar sana
Hata hizo mara chache hajakubetua?ah wapi! sikutan nae mara nying anapunguzaga mwendo mie huyooooooooooooo