Yuko Wapi Huyu Siku Hizi?

Ni nani tena, mbona kafanana na Mgaya wa Tucta?
 
ha ha ha! sahizi kashiba kimyaaaa!
Kwani wewe watafuta nini ukishashiba???Nini kinakuamsha asubuhi na mapema TUMBO.Nini kinakufanya upige kelele TUMBO.Nini kinakufanya ufanye biashara TUMBO.Kwa hiyo akitokea mtu akakushibisha basi kwishney.Kama huamini muulize Mrema wa TLP,Cheyo na Mbatia.
 
Nchi tumwamini nani ?
Alianza vzr lakini kwasasa kama yuko likizo.
 
Kweli kabisa shibe ndo mwisho wa kila struggle, ongezea na Seif Sharif Ahmad kwenye list yako
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…