Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,590
- 28,761
ha ha haFanya upelelezi kidogo asije kuwa katumbuliwa jipu
kumne upo?Maisha yanabadilika mkuu (hope umenielewa)
Ahahaaaaaa, mie nimekuelewa sasa. Kumbe ni wewe. Ok poa.Maisha yanabadilika mkuu (hope umenielewa)
aisee kumbe upo aiseee.Maisha yanabadilika mkuu (hope umenielewa)
Hapana mkuu, mimi siye.aisee kumbe upo aiseee.
Nilianza kupata wasiwasi sana mkuu, umepotea mno aiseee ukizingatia umejenga legacy kubwa sana hapa kwa kuacha neno KUGEGEDA sasa limenyambulishwa tumepata MIGEGEDO etc.
Ha ha haHapana mkuu, mimi siye.
Nilikukumbusha tu kwamba maisha yanabadilika kwa maana ya watu wanabanwa na majukumu, kubadili mifumo ya maisha nk..
Kwa hiyo ukimya wake utakuwa na sababu za msingi.
Sorry kwa kutonielewa mwanzo
Hahaaa hope atakuja tu maana JF ina uwanja mpanaHa ha ha
Basi mkuu , nilijua wewe ndiye, majina yanafanana kidogo..
Mkuu wengi sana wametoweka humu. Uzuri wa JF sehemu kadhaa umepungua . Ni hisia zanguha ha ha
kweli mkuu, ni mtu ambaye ulikua humalizi siku bila kukutana naye humu.
Ghafla katoweka aisee
Mwanzilishi wa hili neno KUGEGEDA alikua anaitwa mzabzab , na alikua mtu maarufu sana humu MMU miaka hio ya 2012 kwa thread zake kabla ya kupotea ghafla.
Yuko wapi mwenzetu huyu??
Ni mtu ambaye ulikuwa ukija hapa MMU unaomba ushauri wowote wa mapenzi yeye lazima akushauri ukagegede tu, hata kama ni mambo ya talaka lazima ashauri kuwa pamoja na kuachana kwenu lakini hakikisha hamuachi kugegedana.
Ilifika wakati akawa anashauri hata ndugu akikaa vibaya we gegeda tu, ndio maana hili neno lilishika kasi sana na kuwa moja ya msamiati wa MMU.
Kapotea ghafla sijawahi kuona uzi wake wala comment yake humu tangu 2013 hivi, yuko wapi huyu mwenzetu mpenda papuchi??
Isije kuwa papuchi zimemnaniliu.............
Dah Kumbe yupo active aiseee.
Dah Kumbe yupo active aiseee.
Nini kimempata mpaka ameacha kugegedana??
Au kaokoka??
Na aliyeleta papuchi na dushe nimjue?Mwanzilishi wa hili neno KUGEGEDA alikua anaitwa mzabzab , na alikua mtu maarufu sana humu MMU miaka hio ya 2012 kwa thread zake kabla ya kupotea ghafla.
Yuko wapi mwenzetu huyu??
Ni mtu ambaye ulikuwa ukija hapa MMU unaomba ushauri wowote wa mapenzi yeye lazima akushauri ukagegede tu, hata kama ni mambo ya talaka lazima ashauri kuwa pamoja na kuachana kwenu lakini hakikisha hamuachi kugegedana.
Ilifika wakati akawa anashauri hata ndugu akikaa vibaya we gegeda tu, ndio maana hili neno lilishika kasi sana na kuwa moja ya msamiati wa MMU.
Kapotea ghafla sijawahi kuona uzi wake wala comment yake humu tangu 2013 hivi, yuko wapi huyu mwenzetu mpenda papuchi??
Isije kuwa papuchi zimemnaniliu.............
[emoji23] [emoji23] [emoji23] aligegedwa[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji85]Mwanzilishi wa hili neno KUGEGEDA alikua anaitwa mzabzab , na alikua mtu maarufu sana humu MMU miaka hio ya 2012 kwa thread zake kabla ya kupotea ghafla.