Yuko wapi FreeMan Mbowe kamanda wa anga?

Mbowe ni mtoto wa bilionea. Yeye binafsi ni mfanyabiashara mkubwa mwenye kipaji cha hali ya juu. Hajatafutia hela CHADEMA.
Haya maneno unayoyasema sasa hivi mlikuwa mnayapinga yakisemwa na wapambe wake kipindi akiwa mwenyekiti.

Sasa hivi wewe ndio unayaongea kuyakubali.

Kweli hili Taifa vijana wana mchango mdogo sana.
 
Alikuwa mabilioni ya udalali kuuza watu toka chadema kwenda Chaumaccm chauma ubwabwa akawadanganya ccm kuwa Chauma itakuwa kubwa kuliko Chadema akapewa pesa nyingi akala na Amos makala akamponza na kutenguliwa ukatibu mwenezi sasa yupo Arusha anasota na ukuu wa mkoa, Mbowe ni mwizi sana hafai kwa lolote
 
Mbowe kama mbowe peke yake hakuwa na mvuto alikuwa akibebwa na muunganiko wa viongozi wengine wakweli ingawa yeye alikuwa m’binafsi mwizi mzinzi kwa wanawake wa viti maalum, kwa kifupi Mbowe wa sasa ni Dalali wa Siasa kama Wenje, biashara yake kubwa ni kutoa watu chadema kuwapeleka chauma chama cha mfukoni mwa ccm
 
mnatakiwa mjifunze kujenga hoja za kumtetea lisu badala ya matusi itawasaidia kujenga chama chenu.hakuna chama kinachojengwa Kwa matusi .
Mbowe alijenga chama kipi peke yake? Chama ni umoja na wengi hujenga chama, matusi ni kumsifia mbowe ambaye ni mwizi mkubwa
 
Mbowe ana Roho mbaya sana ukitaka kujua ubaya wake muulize Lema na uliza kama amewahi kwenda mahakamani kwa kesi ya Lisu ambaye alimpigania sana pindi alipokuwa gerezani na alipotoka akalamba Asali akawa chawa wa ccm
 
Mbowe ni mtoto wa bilionea. Yeye binafsi ni mfanyabiashara mkubwa mwenye kipaji cha hali ya juu. Hajatafutia hela CHADEMA.
Mbowe ni mwizi hana kipaji chochote si mtoto wa bilionea bali baba yake alikuwa na utajiri wa kawaida tu siyo wa ubilionea, Mbowe katajirika kwa wizi wa pesa za chadema, pesa za Asali alipotoka jela, Pesa za udalali kutoa watu chadema kuwauza chauma, Mbowe kajaa pesa Haramu ndiyo maana kajificha ale kimya kimya kwa kuwa ana Tabia ya uchoyo uliopitiliza
 
Mbowe ni tapeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…