Yuko wapi FreeMan Mbowe kamanda wa anga?

Magufuli alikua kiboko Mianya yote ya kodi za watanzania waliokua wanakula free alibana huyu Mungu ampumzishe kwa amani tulimkosea sana
 
Wewe na familia yako mtabaki kuwa nyumbu wa Mnafiki mbowe
Huna ulijualo dogo.kabla ya chadema alikuwepo CUF ya Ibrahim lipumba na marehemu mzee sharifu hamad kipindi hicho ndo walikuwa chama kikuu Cha upinzani.chadema chamtoto.
Mwaka 2005 mnyika anakuja mansese kwenye kampeni anagombea ubunge wa ubungo Kuna watu hata 100 hawafiki.ila mbowe akaja kukipaisha chama hadi chadema hyo unayoiona na kuwa chama kikuu Cha upinzani.TATIZO NYIE WATOTO WA 2000 MNAMJUA LISU.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Tuseme hata kama kweli alikuwa Polisi ? Je yeye haruhusiwi kusikiliza Kesi au tunaanza kuhukumu watu hata kabla ya deed ?!!!

Yaani watu wenye fikra kama hizi makes you wonder itakuwaje siku wakipewa rungu (huenda wakatembeza bakora kwa kila watakayeona sio wao au so called msaliti) yaani Nadhani wanasahau kwenye jina lao kuna neno Demokrasia.....; Na sidhani kama ni wote wenye mawazo haya ingawa hawa ndio wanaowaharibia wengine na kuchafua image yao...
 
Tapeli la Kisiasa la Tanganyika.

Very cunning indeed.

Na venye macho yake yanaona pande zote kama kinyonga, ogopa sana.
 
Ktk laif lazima ujue unataka nin Na utafanikisha vp kupata ukitakacho sasa kwa bakht mbaya wengi wenu mmekua waathirika ktk mishen ya DJ akiwa anapambania matakwa yake
 
Mzee yule jamaa ni poti kama unabisha weka dau mezani niweke mambo hazarani usichokijua usiropoke jamaa najua hadi alipozaliwa
 
Sasa Hizi Pumba zoote nani amekuambia anazihitaji? Umezoea mipasho sana we Mwanamke🤣🤣🤣
 
Sasa Hizi Pumba zoote nani amekuambia anazihitaji? Umezoea mipasho sana we Mwanamke🤣🤣🤣
Ndo maana nimekwambia wewe ni mtoto wa 2000.
Huna ulijualo.kizazi Cha lisu ni manyumbu.chadema ilisukwa ikawa na watu ni kazi ya mbowe.mbowe ana heshima yake hapo chadema.
Wanasiasa WOTE unaowaona walikuwa wanatikisa waliibuka kipindi Cha mbowe.mbowe alipewa mpaka kuwa kiongozi mkuu wa Kambi ya upinzani bungeni.wewe unajua nini NYUMBU🤣🤣🤣.
 
Mbwa mwitu utamjua katika kondoo
 
🤣🤣🤣.Kwa akili hizo ndo mnataka lisu achukue nchi.?
Lisu amezungukwa na vijana wapumbavu kama yeye mwenyewe.
Lissu alikutia mimba akaikana Nini?
Mbona una chuki sana na Lissu.
We nenda Kwa Mbowe aliyekushawishi ukampatiA
 
Lissu alikutia mimba akaikana Nini?
Mbona una chuki sana na Lissu.
We nenda Kwa Mbowe aliyekushawishi ukampatiA
🤣🤣🤣.NYUMBU wa lisu hamna HOJA MKIBANWA KIDOGO MKIMBILIA MATUSI.mnaonyesha ni jinsi gani Sasa hivi chadema imebakiwa na wahuni.
 
Acha kuandika risala we Bi Mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…