hahahaha mbona mnapigana vikumbo mimi nina mkanda mweusi siihitaji bodigadi lol
But ngoja nikulinde ile big boss Excel akija akute uko kwenye mikono salama
jamani jamani jamani babu usinitafutie kesi ushazeeka maini lol
Yuko California huyo
Pacha uzidiwa na mapenzi ya miss neddy hata hujulikani uliko?
Mhhh miss neddy.. Aliekuambia ng'ombe anazeeka maini ni nani..? Asprin ana nguvu kuliko vijana mia ukiwake pamoja.. Mtafutie sababu nyingine lol..
Babu Asprin matusi haya sasa lol..
hahahaha mwacheni atulie kifuani kwangu lol chezea sukuma love weye
Mwadila Honey Faith..