na nani kaachiwa amlinde miss neddy
miss neddy ni malkia wangu, mi ndo bodyguard wake. Najilipa mwenyewe.
aisee umejichukulia jiko chap chaaap sanaa
Ewaa utakuwa mama wa ubatizo wa kabinti ketu kajacho. Namwona kama anatematema mate hovyo.
Mara ya mwisho gps zilisoma yuko musoma baada ya hapo no signal... Au searching signal muda wote
miss neddy ni malkia wangu, mi ndo bodyguard wake. Najilipa mwenyewe.
miss neddy ni malkia wangu, mi ndo bodyguard wake. Najilipa mwenyewe.
Excel atakuja soon, ila amenipa kazi ngumu ya kumlinda mtu ambae hatujazoeana. Eti miss neddy nikulienda au utajilinda?