Yuko wapi Emmanuel Nchimbi?

Yuko wapi Emmanuel Nchimbi?

Nadhani kuna watu hawajui maana ya unafiki. Unafiki ni mtu kufanya vitu kwa siri. Lakini Nchimbi hakuwa mnafiki alisimamia anachokiamini.
Kabisa. Nchimbi, Simba na Kimbisa walisema waziwazi kilicho mioyoni mwao, kwa nini waitwe wanafiki? Wao walikua kambi ya Lowassa waziwazi. Mbona waliokuwa kambi ya Membe hawasemwi? Au kwa kuwa Membe hakuwa na nguvu?
 
Back
Top Bottom