Yuko wapi Dr. Stephen Ulimboka?

Familia haitaki mjadala juu yake, endeleeni na shughuli zenu.
 
Alitulizwa na****** ikabidi akae kimya
 
Aligundua kuwa wale wanasiasa wa matukio ndio walioucheza ule mchezo ili serekali na usalama walaumiwe nao wapate chakutokea.
Alipogundua hayo wakati alikuwa anawaunga mkono. Nawao ndio walimtuma alichoka akaamua kukaa kimya
 
Nimejikumbusha kusoma jinsi alivyosimulia Ulimboka wakati ametekwa, aisee nimeogopa sana.
Hawa binadamu waache kama walivyo.
 
Madactari bado wanaknyongo hata Havana amani
 
Tanzania kuna amani!:
1. Liwalo na liwe...Ulimboka kaumia
2. Wapigwe tu....Mwangosi kafa, Kibanda kang'olewa jicho
n.k
Amani au ukandamizaji?
Kibanda ndio nani.?
 
Jamani wa jf kuna mtu yoyote ana habari za Dr. Ulimboka? Toka amerudi Africa kusini hatusikii chochote, hebu nipeni update.
Daaah mkuu unanitia simanzi, huwa nikimkumbuka naichukia sana nchi hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…