The Initiator huru
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 2,332
- 3,229
Itapendeza akifungwaYupo jela ana kesi ya utakatishaji pesa, nkmemuona mara tatu anashuka na karandinga kutoka segerea
KumbeYupo jela ana kesi ya utakatishaji pesa, nkmemuona mara tatu anashuka na karandinga kutoka segerea
Haaahaa 😆 ☺️ 😁 jamaa alikua anajiamini Sanaa.Dokta Manguruwe alivuma sana na mradi wake wa nguruwe pale dodoma, na mara nyingi alionekana mtaani, mara kwenye mechi ya Simba akigawa fedha. Sasa hasikiki tena Yuko wapi dokta Manguruwe????
Dakta yupo keko ama segereaDokta Manguruwe alivuma sana na mradi wake wa nguruwe pale dodoma, na mara nyingi alionekana mtaani, mara kwenye mechi ya Simba akigawa fedha. Sasa hasikiki tena Yuko wapi dokta Manguruwe????
Jamaa janja lile ndo maana limeunga mkono juhudi maana anajua akibugi step atawashiwa moto.Ndio ubaya wa maisha ya kiki na umaarufu.
Angepiga hela kimyakimya hata wasingemshtukia.
Na yule jamaa anayejiita chief ipo siku naye watambananisha aonyeshe ushahidi wa kazi inayomuingizia kipato,sasa hivi wanajifanya kama hawamuoni ili aendelee kujianika zaidi
Sasa angepataje pesa za wajinga bila kikiNdio ubaya wa maisha ya kiki na umaarufu.