Katiba ya Nchi inasemaje? Who are you? Una rakua nini? Zittokabwe siku hizi simuonioni ungeni, wala TLS, wala WB,mbona huuluzi? He is a free citizen unamtakia nini? Kuna Netanyahu na Abdallah "King" Kibadeni, na Ali Issa, wako wapi mbona huulizi?Huyu ndugu yetu kipindi cha jiwe alimkimbia Mbowe, akaelekea Kawe kuomba ridhaa ya CCM akapigwa chembe la kidevu na Gwajiboy.
Baadaye jiwe sijui alikuwa na mpango gani nae, nikaona kampiga kimya. Sijamsikia huyu Dkt. wa binadamu au atakuwa kaamua kurudi kwenye tiba huko kulikojengwa mashine ya nyungu ambayo Kigwaboy alitaka ipasuliwe?
Yu wapi Mashinji?
This is demotion and demonization. Chadema alikuwa analamba 7M per moon, Sasa anaenda kupewa 4.6M per moon na masimango juu.Jamaa amelamba u dc, 2025 anakwaa u rc 😅😅
Hivi kumbe aliondoka chadema akiwa bado katibu mkuu? Au alikuwa anapata hiyo 7m kama k/m mstaafu?This is demotion and demonization. Chadema alikuwa analamba 7M per moon, Sasa anaenda kupewa 4.6M per moon na masimango juu.
Huyu ndugu yetu kipindi cha jiwe alimkimbia Mbowe, akaelekea Kawe kuomba ridhaa ya CCM akapigwa chembe la kidevu na Gwajiboy.
Baadaye jiwe sijui alikuwa na mpango gani nae, nikaona kampiga kimya. Sijamsikia huyu Dkt. wa binadamu au atakuwa kaamua kurudi kwenye tiba huko kulikojengwa mashine ya nyungu ambayo Kigwaboy alitaka ipasuliwe?
Yu wapi Mashinji?
Yupo Ilula analima nyanya

Yupo anachunga ngo'mbe
Atakuwa anajihisi kadanganywa!
Si alipata teuzi, ni mkuu wa wilayaAisee. Kumbe mtu anaweza kukuharibia C.V kwa vijipesa kidogo tu vya rushwa.
The guy is now a spent force.
Boss. Cheki vizuri rekodi zako. Yule jamaa sio mkuu wa wilaya. Na hata angepewa ukuu wa wilaya asingekubali. From top top Chadema kwenda kuishi vijijini hata magazeti hayafikiSi alipata teuzi, ni mkuu wa wilaya
Umenikumbusha yule ndugu yake Magufuli aliyekuwa ameifanya UVCCM kama mali yake alivyopoa siku hizi. Nadhani alipewa u-DC na huo ni mashaka matupu kwani siku yoyote unaweza kuondolewa.Boss. Cheki vizuri rekodi zako. Yule jamaa sio mkuu wa wilaya. Na hata angepewa ukuu wa wilaya asingekubali. From top top Chadema kwenda kuishi vijijini hata magazeti hayafiki
Umejiunga lini jf? Mwezi wa 6 tu hadi Leo unasahau? Nchi ngumu sanaBoss. Cheki vizuri rekodi zako. Yule jamaa sio mkuu wa wilaya. Na hata angepewa ukuu wa wilaya asingekubali. From top top Chadema kwenda kuishi vijijini hata magazeti hayafiki
Mashinji alikuwa hajapata teuzi yoyote, mama Samia ndio akaja kumteua kuwa mkuu wa wilaya ya serengetiUmenikumbusha yule ndugu yake Magufuli aliyekuwa ameifanya UVCCM kama mali yake alivyopoa siku hizi. Nadhani alipewa u-DC na huo ni mashaka matupu kwani siku yoyote unaweza kuondolewa.
Ameshakuwa kirobotoHuyu ndugu yetu kipindi cha jiwe alimkimbia Mbowe, akaelekea Kawe kuomba ridhaa ya CCM akapigwa chembe la kidevu na Gwajiboy.
Baadaye jiwe sijui alikuwa na mpango gani nae, nikaona kampiga kimya. Sijamsikia huyu Dkt. wa binadamu au atakuwa kaamua kurudi kwenye tiba huko kulikojengwa mashine ya nyungu ambayo Kigwaboy alitaka ipasuliwe?
Yu wapi Mashinji?
Huyu vipi ? analia ama anacheka?Mambo yamekwama
View attachment 1810455