Bashiru ni Mwalimu wangu amenifundisha almost miaka mitatu. Ni nguli wa Sayansi ya siasa na darasani nilimwelewa vyema sana yeye na Dr Benson Bana. Licha ya ubingwa huko wa Sayansi ya siasa Dr. Bashiru hawezi siasa!...sio mwanasiasa ndio maana kwa kipindi kifupi sana alicholetwa kwenye siasa ameshindwa ku -survive.