bashiru ally

Bashiru Ally Kakurwa Tanzanian politician, diplomat and Member of Parliament. He was the Chief Secretary of Tanzania in the 5th Cabinet, appointed by President Magufuli into office February 26, 2021. Before he had been Secretary General of Chama Cha Mapinduzi political party in Tanzania, appointed by Magufuli into office on May 31, 2018. Prior to his appointment as party Secretary General, he was a lecturer at the University of Dar es Salaam.
During the first cabinet reshuffle under President Samia Suluhu Hassan he was dropped from his cabinet post and instead given one of the slots for appointed members of parliament on March 31, 2021.

View More On Wikipedia.org
  1. Escrowseal1

    Kwenye sakata hili la Bandari, Prof. Kabudi, Bashiru Ally, Humphrey Polepole jiandaeni kujibu mbele ya Mungu wenu kama mnamwamini

    Binafsi Imani Yangu kwenu haikuwahi kuwa na Shaka. Ukimya wenu kwenye suala hili la bandari bila kujali nafasi mlizopewa unadhibitisha kuwa hamko tofauti na watanzania wengi wanaotetea matumbo Yao. Haijalishi mnazo nafasi gani kwenye hii serikali. Ukimya wenu ni majibu tosha kuwa tuliwaweka...
  2. D

    Dk. Bashiru Ally usikae kimya, muokoe Cyprian Musiba

    Dk. Bashiri Ally, wewe ni Mwalimu wangu wa siasa ya sayansi pale UDSM na ulinipenda sana kwa hoja zangu. Uliwahi kusema darasani, ,"politic is dynamic". Somo hili ulilikuza sana kwetu hata kama haina mantiki yoyote kwa siasa za Afrika. Dk. Bashiru kama kweli ni mhafidhina naomba umsaidie Samia...
  3. J

    Bashiru Ally: Heshima ya nchi yetu imeshuka, tunadhalilika kwa njaa

    "Njaa inadhalilisha heshima na uhuru wa nchi, inatweza utu wa binadamu kwahiyo tatizo la mfumuko wa bei za vyakula ni tatizo ambalo tutake tusitake lazima tuongeze kiwango cha ubunifu kukabiliana nalo, hakuna ukomo wa ubunifu, wananchi wanakibiliana na tatizo hili. "Nilikuwa nazungumza na...
  4. Suphian Juma

    Kigwangalla na Bashiru ni mapacha

    KIGWANGALA NA BASHIRU NI MAPACHA!! Jana Desemba 04, 2022 kwenye mitandao ya kijamii pameibuka mjadala kuhusu Mabehewa ya Reli yetu tarajiwa ya kisasa ulioanzishwa na Mbunge wa Chama chetu cha Mapinduzi CCM wa Jimbo la Nzega, Mheshimiwa Dkt Hamis Kigwangala. Niseme tu kama Mwanachama wenzake wa...
  5. Sir robby

    Angeuliza Bashiru Ally juu ya behewa used, Dkt. Kigwangalla angemshambulia

    Wadau nawasalimu. Toka Serikali itangaze kuwa imenunua Mabehewa ya Treni ya Kisasa Mbunge wa Nzega Vijijini amekuwa Mstari wa Mbele kuhoji Upya wake. Kwa Tabia ya Kugwangalah Swali hili hili angeliuliza Balozi Bashiru Ally nina UHAKIKA Kigwangalah angeita PRESS kutaka Balozi BASHIRU ALLY...
  6. S

    CCM wameufyata kwa Dr. Bashiru Ally au mama ndiyo haungwi mkono na ccm?

    Ndugai alipotoa TAHADHARI kwa serikali ya wamu ya 6 kuwa nchi yetu itapigwa mnada endapo itaendelea kukopa fedha hovyo toka nje, CCM na jumuiya zake zote walimjia juu. Na hata siku anamwapisha mrithi wa Ndugai mama aliwashukuru wanaccm wa ngazi zote wakiongozwa na wenyeviti wa mikoa kwa...
  7. Elli

    Tukio la Bashiru Ally na Mkutano wa Waziri wa Uchukuzi vimepangwa, shtuka!

    Kila kunapokuwa na jambo ka moto mara zote CCM huja na vijambo Ili kuwatoa wananchi kwenye umakini. Wote tunajua kuwa moja, kuna mgao mkali sana wa umeme ambao hata haueleweki, kuna mgao wa maji huku bili za maji zikiwa ni zile zile na kuna ucheleweshaji wa mishahara pamoja na ugawaji wa kihuni...
  8. Kabende Msakila

    CCM isimbeze Dkt. Bashiru Ally, na isitumie nguvu kumkabili

    WanaJf, SALAAM! Mara nyingi ikitokea viongozi wastaafu wa nafasi za juu kulalamikia jambo fulani kuhusu uendeshaji wa nchi - huja vijana wa chama maarufu kwa UVCCM na makundi mengine ya wanufaika wa enzi hizo kushambulia hoja, maoni na mtizamo wa mtu. Kama ilivyotokea kwa kundi la CDE Kinana...
  9. chiembe

    Bashiru Ally Kakurwa wa awamu ya 5 ni sawa na Isaack Maliyamungu wa Idd Amin Dada, au Joseph Goebbels wa Hitler, ashughulikiwe vilivyo

    Maliyamungu na Goebbels walikuwa ni majinamizi kwenye nchi zao. Walikuwa ni majini yaliyoshindwa kutosheka na damu. Walikuwa majitu makatili sana, yakasababisha nchi zao ziharibike kabisa. Bila shaka baada ya wao kufa, walibaki wengine, na hata sisi tunaye, anajijua
  10. J

    Wakulima tumpuuze Dr. Bashiru Ally hana jema kwa Taifa letu

    Hali isiyokuwa ya kawaida tarehe 17 Novemba, 2022 wakati wa mkutano wa wakulima Dr. Bashiru Ally aliongea maneno yenye chuki, kuvunja moyo na yenye uchochezi na kumgombanisha Rais na wakulima ili hali wakulima wanajua mazuri yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan katika kipindi cha muda mfupi...
  11. J

    Chuki na uchochezi wa Dr. Bashiru Ally kwa serikali ya Rais Samia

    Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imekuwa mkombozi kwa wakulima nchini, tunaona jinsi serikali inavyopambana katika kuwainua wakulima kwa kutoa mbolea za ruzuku, kufuta tozo zilizokuwa kero kwa wakulima nchini, kutafuta masoko ya mazao nje ya nchi; tumeshuhudia kwa...
  12. K

    Dkt. Bashiru Ally na Polepole walilewa madaraka

    Hii Dunia ni ndogo sana hawa DKT BASHIRU ALLY na POLEPOLE walifikiria watakuwa viongozi wa maisha. Ilifika wakati walikuwa wanatoa hongo na kununua wapinzani hasa wabunge na madiwani. Waliahidi vyeo kwa wapinzani wanaokuja CCM bila kujali uwezo wao na nchi kwa ujumla Walirekodi kwa kudukuwa...
  13. chiembe

    Kwanini Polepole asirudi chama chake cha asili (CHADEMA) na Bashiru (CUF)? Naona kama CCM kimewakataa kiufundi

    Polepole ni mwana CHADEMA mzuri na hajawahi kurudisha kadi yake, Bashiru ni mwana CUF kindakindaki. Wenye CCM ni kama hawawataki, kwanini wasiondoke? Sasa Chenge aliyekatwa na Bashiru na Polepole ndio anakuwa spika. Vifaranga wa bata (Polepole na Bashiru), hawawezi kukaa na vifaranga wa kuku
  14. Erythrocyte

    Kumbe Bashiru Ally, Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM ni Mwanachama wa CUF?

    Kiukweli hili sikulijua wakuu, hivi iliwezekanaje mwanachama wa CUF kuteuliwa kwenye cheo kikubwa Kabisa cha chama kingine cha KATIBU MKUU? Ukweli huu umebainishwa na Bulembo aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazee wa CCM, ambayo iliwahi kushutumiwa na Kamati ya kuchunguza mali za CCM...
  15. F

    Kwanini ripoti ya Bashiru Ally haikutekelezwa na Magufuli?

    Kulikuwa na kizungumkuti gani na kigugumizi gani kwa Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Magufuli (deceased) kutotekeleza kwa 100% ripoti ya Tume ya chama ya Bashiru Ally? Je, kutotekeleza ripoti hiyo siyo kwamba inaashiria matumizi mabaya ya rasilimali za chama kwa Tume hiyo ambayo sasa ni kama...
  16. Vugu-Vugu

    Kwanini Hayati Dkt John Pombe Magufuli aliwafuta uongozi Humphrey Polepole na Dkt Bashiru Ally?

    === Najua Dkt Bashiru Ally Kakurwa na kaka yangu Humphrey Polepole wanajua na Mungu anajua aliyewaondoa kwenye nafasi zao ndani ya Chama cha Mapinduzi za Ukatibu Mkuu wa Chama na Ukatibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa Taifa ni Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli. Kwamujibu wa...
  17. Uzalendo wa Kitanzania

    Nukuu ya Mzee Abdulhaman Kinana kwenye hafla ya kumkabidhi ofisi ya Ukatibu Mkuu mrithi wake Dkt Bashiru Ally Kakurwa

    Ilikuwa Juni 20,2018 kwenye hafla iliyoandaliwa na Watunga sheria kumuaga & kumkaribisha ( Abdulhaman Kinana & Dkt Bashiru Ally Kakurwa)
  18. Nyendo

    Pascal Mayalla: Tanzania sasa inajenga Mifumo na sio kujenga watu kama enzi za Hayati Magufuli

    Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania alifanya mabadiliko ya kiutendaji ikiwa ni pamoja na kumuondoa aliyekuwa Katibu Mkuu kiongozi Dokta Bashiru Ali na kumteua kuwa mbunge. Je, wachambuzi wanazungumzia vipi hatua hii? Msikilize mchambuzi wa siasa za Tanzania, Pascal Mayalla akichambua kwa kina...
Back
Top Bottom