S Stayfar JF-Expert Member Joined Jan 11, 2016 Posts 1,092 Reaction score 2,297 Jun 12, 2016 #1 Huyu Jamaa anaitwa Bileku mpasi au djuna mumbafu,alikuwa ni rapa wa marehemu pepekalle.Mara ya mwisho kumsikia ni pale alipotoa Album yake kwa jina la djuna one,toka hapo sijamsikia tena Mwenye latest news kumhusu,tafadhali atujuze Mashabiki wake
Huyu Jamaa anaitwa Bileku mpasi au djuna mumbafu,alikuwa ni rapa wa marehemu pepekalle.Mara ya mwisho kumsikia ni pale alipotoa Album yake kwa jina la djuna one,toka hapo sijamsikia tena Mwenye latest news kumhusu,tafadhali atujuze Mashabiki wake
Shuleless JF-Expert Member Joined Aug 12, 2015 Posts 4,972 Reaction score 6,246 Jun 12, 2016 #2 Dah long time sana hata papy Tex.Sijui wamepotelea wapi hawa watu.