Yuko wapi Deogratius Kisandu?


Pole sana dogo inaonekana una vision isiyoendana na matendo yako. Iawpo unataka kujijenga bila ushabiki wa vyama ilikuwajae ujiunge na siasa. Wengine tulikufahamia huko na si kutokana na lolote la maana ulilofanya kwa watz. Kama vyama si muhimu umetoka CDM na kwenda NCCR kwani hiyo ni SACCOSS
 
nimempa ajira ya kupiga deki ofisini kwangu.

zumbemkuu, angalia simu zako maana sijui kwa nini watu wakiondoka CDM wanageukia ukwapuaji wa simu. Refers Stella Mw..m


Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
hujitambui, unafanya siasa kwa shinikizo la ushabiki

Wamezoea kufanya siasa za mitandaoni hao jembe wanadhani mitandao huwa inapiga kura.wanataka kila unachofanya uandike jf babu kawazoesha vibaya ndio maana alitangaza kwenye media kuwa ataisaidia familia ya mwangosi mpaka leo hakuna alichokifanya mzee wa mauzo.
piga kazi jembe achana na watu walioajiriwa toka ufipa humu jf.
 
WOGA wako ndio umasikini wako.


woga wangu au woga wako kwenye ulingo wa siasa kuhama hama vyama siku utarudi ccm na unachokitaka hutakipata halafu sio lazima wewe uwe mwanasiasa kama vp jitupie tu huko buzwagi labda utatoka kimaisha
 
Kisandu yuko mkoani Mwanza anafundisha moja wapo ya shule za sekondary wilayani Misungwi. mara ya Mwisho alikuwa anaongoza kampeini za kumnadi mgombea wa chama chake katika kata ya Nyampulukano Sengerema na wakaambulia kura pungufu ya 40. Siku ya mwisho alipata ajali mbaya ya gari akanusurika kifo.
 
Na Eddo mwamalala nae kapoteana kule mbeya eddo alpga kampen kwa chama chake kwa mwez mzma na kupata kura 17 tu yan wanajuta,waljiona maarufu sasa si waipaishe nccr?
 
Unategemea nini kufanya kazi na mtumishi wa CCM aka NCCR manunuzi?
 

hebu ongea tena bibie nikusikie! Wapi savimbi,wapi thread yake ya brigade rose
 
Kisandu kaibuka na ndoto zake za kugombea urasi kupitia nccr mageuzi
 

KISANDU-NITAGOMBEA URAIS 2015 KWA TIKETI YA CHAMA CHA NCCR-MAGEUZI


Kumekuwepo na maneno mengi kuwa tangu nihamie chama cha NCCR-Mageuzi nimeogopa kuendelea na dhamira yangu ya kuutaka Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nasema tena kwa mara nyingine 2015 ni lazima nitagombea Urais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha NCCR-mageuzi kwani wajumbe wao ndio watakao amua nani anastahili katika kura zao.




Kisandu-nitagombea urais 2015 kwa tiketi ya chama cha nccr-mageuz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…