Yuko wapi dada wa kuwa nami maishani jamani?

joshua joshua

New Member
Joined
Aug 7, 2013
Posts
1
Reaction score
0
jamani habari zenu hasa wadada huu ni ujio wenu ,mimi ni mkaka mwenye miaka 32. Ni muhitimu wa ngazi ya shahada, afisa elimu ngazi ya sekondari kwa sasa, na nina imani ya juu ndani ya kristo yesu . Ni mweusi ila si saana , wastani tu na mwembamba kiasi.ni mrefu kiasi cha futi sita .
lengo langu ni kuomba dada mmoja mrembo mwenye vigezo vifuatavyo niwe nae mpaka mwisho wa dunia hii ya mwenyezi mungu:
>>awe na imani sana kwa yesu kristo ,yaani mshika maandiko.
>>awe ana elimu kuanzia diploma kwenda juu kwa fani yeyote.
>>awe ameajiriwa na anakipato kama mimi nilivyo na kipato.
>>awe anaishi kwake si tegemezi tena, mwenye uhuru wa kimaisha kama mtu mzima.
>>awe si mfupi bali wa wastani au mrefu
>>awe mrembo wa sura na asiwe mweusi hata kidogo.
>>awe na umbo zuri.

nina maanisha na alie na vigezo tu ambaye yuko tayari kupima , na ambae yuko huru kwa mahusiano ya ukweli tangu leo mpaka ndoa hivi karibuni anipigie tufahamiane na kukubaliana pia kupitia 0765123277.
tafadhali mimi mkweli na muhitaji usinidhulumu haki yangu ya kupenda endapo hauna vigezo hivyo.nahitaji mapenzi ya dhati kutoka kwa mrembo mwenye sifa hizo.

Hata mm akina dada. Mwenye vigezo vya apo juu tafadhali anipm.
 
Kabla hujataka mwenye Navy we umekidhi?mana tumeambiwa tutapewa was kufanana nasi
 
....unajipa laana...

kama kweli wamaanisha ulioandika.... Tema mate chini na muombe Mola wako hekima. Binadamu wote ni sawa..

Muombe Mungu akupe mke mwema.
 
afisa elimu unataka kuoa au unataka kumpa ajira maana hivyo vigezo sizani hata wazazi wako kama waliwekeana vigezo kama hivyo! wewe ni mwoga wa maisha vinginevyo ungetaka mwanamke mcha mungu tu! yatosha....
 
Mh!hili nalo neno,katafute afisa mwenzio
 
kaka nakushauri mzuri na wa kiusalama zaidi uende kumwomba Mungu wako kwanza kisha umtafute huyo mchumba kanisani au msikitini lasivyo wa humu watakutoa ngeu bure hakuna mchumba mwema anayepatikana kwenye mitandao ndugu ni uzushi mtupu na ubatili mtupu humu, kaaza kumwomba Mungu atakupa mke aliyemwema kwako na sio hapa
jamani habari zenu hasa wadada huu ni ujio wenu ,mimi ni mkaka mwenye miaka 32. Ni muhitimu wa ngazi ya shahada, afisa elimu ngazi ya sekondari kwa sasa, na nina imani ya juu ndani ya kristo yesu . Ni mweusi ila si saana , wastani tu na mwembamba kiasi.ni mrefu kiasi cha futi sita .
lengo langu ni kuomba dada mmoja mrembo mwenye vigezo vifuatavyo niwe nae mpaka mwisho wa dunia hii ya mwenyezi mungu:
>>awe na imani sana kwa yesu kristo ,yaani mshika maandiko.
>>awe ana elimu kuanzia diploma kwenda juu kwa fani yeyote.
>>awe ameajiriwa na anakipato kama mimi nilivyo na kipato.
>>awe anaishi kwake si tegemezi tena, mwenye uhuru wa kimaisha kama mtu mzima.
>>awe si mfupi bali wa wastani au mrefu
>>awe mrembo wa sura na asiwe mweusi hata kidogo.
>>awe na umbo zuri.

nina maanisha na alie na vigezo tu ambaye yuko tayari kupima , na ambae yuko huru kwa mahusiano ya ukweli tangu leo mpaka ndoa hivi karibuni anipigie tufahamiane na kukubaliana pia kupitia 0765123277.
tafadhali mimi mkweli na muhitaji usinidhulumu haki yangu ya kupenda endapo hauna vigezo hivyo.nahitaji mapenzi ya dhati kutoka kwa mrembo mwenye sifa hizo.

Acha uoga wa maisha. Dunia hii ni full matatizo. Mhubiri alisema kila kitu ni ubatili. Hutaki watoto wa baba na mama?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom