Yuko wapi dada wa kuwa nami maishani jamani?

Yuko wapi dada wa kuwa nami maishani jamani?

Afisa wewe ni tatizo kooote umekosa humu sasa umekuja tafuta shida MCHA MUNGU UKAKOSA KANISANI, WAALIMU WENZIO TENA HAO NDIYO BOOOOORA HASWA KWA MALEZI HUKU KWENYE SOCIAL NETWORK UMEKUJA TAFUTA PAPUCHU ZILIZOSHINDIKANA OHOOO UTAKUTANA NA KITU IPO KAA NGOZI YA TEMBO NA SUGU JUU.
 
Hutokaa uoe wewe , u r too selfish. 32 yrs umechezea wangapi? Hao ambao hawana kipato nan akawaoe?
Kwa taarifa yako mrudie yule mwanamke aliyekupenda, huyu unaemtafta sasa ni unajiwashia njiti ya kiberiti ndani ya kisima cha petroli
Anaweza asiwe ameajiriwa na asiwe na elimu hyo lakin akawa na biashara zake na upeo wa kuona mbali kuliko hawa wasomi wa vyeti
 
Makubwa..... Hv naona makengengeza au vp? Mbona avatar yangu naiona kwa wengine inakuwaje? Yaani wengine wanatumia au mi ndo sielewi
 
@Nistdanavitagor rudi kwenye wadhifa wako wa Rich Pol acha kuchora watu kwa mkogo wa maji ya yakimove hovyo
 
Afisa wewe ni tatizo kooote umekosa humu sasa umekuja tafuta shida MCHA MUNGU UKAKOSA KANISANI, WAALIMU WENZIO TENA HAO NDIYO BOOOOORA HASWA KWA MALEZI HUKU KWENYE SOCIAL NETWORK UMEKUJA TAFUTA PAPUCHU ZILIZOSHINDIKANA OHOOO UTAKUTANA NA KITU IPO KAA NGOZI YA TEMBO NA SUGU JUU.
hivi zinakuaje hizo za ngozi za tembo
 
hivi zinakuaje hizo za ngozi za tembo
Too much used imetoka ulaya ,ikaenda japan ikatumika then ikaja bongo ikatumika ikachongwa injini mpaka mwisho alafu ukainunua (namaanisha kama ni gari)sasa papuchu ndiyo ipo hivyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom