Turudi pale Rau Madukani
JF-Expert Member
- Jan 16, 2016
- 2,793
- 5,900
Daah Mwanangu ngoja leo nikuulize swali,hivi mbona sentensi zako zote zinakuaga na quotation mark kila sehemu mkuu?afadhali umeirejesha hii avatar" ile nyingine ilikuwa na ukakasi mwingi mnooo" hatukuweza kukutambua mapema"
speaking of barafu" Barafu", ni moja ya watu wachache" makini na wenye high thinking capacity "iliyotukuka" kwa kweli" kama yupo" salama " ajitokeze". .. ilituweze kufahamu"...
kuna hati hati JF inaanza kupoteza " baadhi ya members wake" nguli' ambao kwa sisi wengine matomaso" tulikuwa tunawachukulia kuwa ni MA-lectures", wakutufunza" mambo mbali mbali ya kitaalamu zaidi''" ....kuna umuhimu kwa uongozi wa JF. kuanza kuwalinda watu hawa ili wasiweze kutoweka" kama ambavyo huwa wanalindwa faru/tembo" wasiweze kutoweka kwa ajili ya manufaa',"" ya vizazi vijavyo" vya wana JF "" .... BAK "barafu " na kuna wengine wengi " ambao hawapo kwa sasa ",Mungu",awalinde huko mlipo"
Ukiunga mkono unazawadiwa ubalozi au ukuu.Barafu ameunga mkono juhudi za rais
Kwa usawa huu,atakuwa ameyeyuka, siunajua jua lilivyo kali
kuwa different " wakati hauvunji sheria"sio laana chief"... naomba niulize jengine"Daah Mwanangu ngoja leo nikuulize swali,hivi mbona sentensi zako zote zinakuaga na quotation mark kila sehemu mkuu?
hahahakuna kipindi alikuwa anasema yuko Canada. labda ni Dr silaha...
hahahaa
Kumbe sipo mwenyeweMzee wa tunguri umerejea kutoka katika harakati zako ukazama JF utalala sasa ngapi sasa,
barafu watu mtaani tunaheshimika kwa elimu yako
Yaani huwa tunachukua haya madini tunakwenda kuyashusha kama yalivyo halafu tunajisifu tunasoma sana vitu
Hakuna jingine mkuu,ni hilo tu boss.kuwa different " wakati hauvunji sheria"sio laana chief"... naomba niulize jengine"
Asante " chief wanguHakuna jingine mkuu,ni hilo tu boss.
Pamoja mkuu.Asante " chief wangu
" hahaaa' kwani umesahau", ulivyoniambia", baada yakukutembelea "kilingeni kwako" ??Je ni masharti ya mganga?