Yuko wapi Barafu?

Yuko wapi Barafu?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,085
Kwa hakika kuna kitu hakiko sawa! Yuko wapi barafu mchambuzi nguli wa mambo ya anga katika dhana nzima ya vyombo vinavyoruka angani?
Huyu hakuwa mwanasiasa bali mtaaluma aliyefahamu kindakindaki elimu na maarifa ya usafiri adhimu wa anga...kupitia yeye wengi tuliweza kufaidika na elimu ya bure na ujuzi wa hali ya juu kwenye hii kaliba

Akiwa ni mzalendo mwenye uvumilivu mkubwa daima alisimama upande wa kutetea nia ya serikali kwenye dhana nzima ya kutaka kulifufua shirika letu la ndege ATCL kwa kununua ndege mpya aina ya bombadia...kamwe hakuchoka kutoa elimu ya bure kwa wakosoaji....

Kutokana na ujuzi na elimu yake hiyo kubwa ilifika wakati alikuwa rejeo popote palipokuwa na ubishi juu ya usafiri huo wa angani....na neno lake liliheshimika na kumaliza ubishi husika...kuna baadhi ya maeneo alitoa ushauri serikalini na serikali ikaufanyia kazi ushauri wake
Lilipokuja suala la kununua ndege nyingine kubwa ambayo ni ukoo tofauti na bombadia, nguli huyu hakuunga mkono kabisa na akaweka post ndefu ya kitaalam kupinga uamuzi huo.....ni katika post hiyo aliweza kuongea kwa undani sana mpaka maswala ya mafundi wa ndege zetu mpya kutoka nje ya nchi...akaonya na kutahadharisha....kwa mara ya kwanza barafu akafanya kinyume na mazoea...akakosoa kwa weledi uamuzi huo

Ni baada ya post hiyo mwanaJF huyu akatoweka jukwaani....
Natambua kuna maisha nje ya JF na kuna baadhi yetu tunafahamiana mpaka makazi yetu. Basi mfikishieni taarifa kuwa kuna post nyingi huku za dreamliner zinapwaya na zinahitaji neno lake
 
Mzee wa tunguri umerejea kutoka katika harakati zako ukazama JF utalala sasa ngapi sasa,

barafu watu mtaani tunaheshimika kwa elimu yako

Yaani huwa tunachukua haya madini tunakwenda kuyashusha kama yalivyo halafu tunajisifu tunasoma sana vitu
 
Mzeewa tunguri umereje kutoka katika harakati zako ukazama JF utalala sasa ngapi sasa,

barafu watu mtaani tunaheshimika kwa elimu yako

Yaani huwa tunachukua haya madini tunakwenda kuyashusha kama yalivyo halafu tunajisifu tunasoma sana vitu
[emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji112] [emoji106] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Kwa hakika kuna kitu hakiko sawa! Yuko wapi barafu mchambuzi nguli wa mambo ya anga katika dhana nzima ya vyombo vinavyoruka angani?
Huyu hakuwa mwanasiasa bali mtaaluma aliyefahamu kindakindaki elimu na maarifa ya usafiri adhimu wa anga...kupitia yeye wengi tuliweza kufaidika na elimu ya bure na ujuzi wa hali ya juu kwenye hii kaliba

Akiwa ni mzalendo mwenye uvumilivu mkubwa daima alisimama upande wa kutetea nia ya serikali kwenye dhana nzima ya kutaka kulifufua shirika letu la ndege ATCL kwa kununua ndege mpya aina ya bombadia...kamwe hakuchoka kutoa elimu ya bure kwa wakosoaji....

Kutokana na ujuzi na elimu yake hiyo kubwa ilifika wakati alikuwa rejeo popote palipokuwa na ubishi juu ya usafiri huo wa angani....na neno lake liliheshimika na kumaliza ubishi husika...kuna baadhi ya maeneo alitoa ushauri serikalini na serikali ikaufanyia kazi ushauri wake
Lilipokuja suala la kununua ndege nyingine kubwa ambayo ni ukoo tofauti na bombadia, nguli huyu hakuunga mkono kabisa na akaweka post ndefu ya kitaalam kupinga uamuzi huo.....ni katika post hiyo aliweza kuongea kwa undani sana mpaka maswala ya mafundi wa ndege zetu mpya kutoka nje ya nchi...akaonya na kutahadharisha....kwa mara ya kwanza barafu akafanya kinyume na mazoea...akakosoa kwa weledi uamuzi huo

Ni baada ya post hiyo mwanaJF huyu akatoweka jukwaani....
Natambua kuna maisha nje ya JF na kuna baadhi yetu tunafahamiana mpaka makazi yetu. Basi mfikishieni taarifa kuwa kuna post nyingi huku za dreamliner zinapwaya na zinahitaji neno lake
Mshana Junior Kuna kitu kinaitwa Theory au kwa kiswahili nadharia, Tunaweza kuita ni hali ya ufikirishi na kuhoji Kwanini kitu kiwe Hivi kilivyo na Kwanini kisiwe vile

Nadharia zinaweza thibitishwa na aliyetoa nadharia au watu wengine baadae, Yaweza pita miaka mingi nadharia ikathibitishwa na baadae kujipinga yenyewe

Kuna nadharia nyingi wewe unafahamu mtu Kama "Kiranga " anapinga bila kujenga nadharia

Barafu nae ni bingwa wa kutengeneza nadharia, Aliongelea kuwa na ndege tofauti tofauti yaani kachumbari ni tatizo kubwa ni tatizo kubwa hasa kwa mafundi kutengeneza lakini hakujua hata kipindi bajaji na bodaboda zinaingia kulikuwa na mafundi wachache sana, Ni nani alimiliki pikipiki kama Yamaha kwa milioni 9 au zile Honda ? Tuliotumia pikipik wakati huo wa Yamaha na Honda tunajua adha ya mafundi kutuharibia lakini leo nchi nzima vijana ni wajuzi na wajuvi wa pikipiki

Tambua Elimu ya ndege hapa Tanzania wanafahamu wachache sana na wengine sio mafundi bali ni wahudumu tu lakini kwa mazingira inakulazimu kujua aina za ndege na kuandika makala kubwa Huku ukikosa wa kukukosoa

Nadharia bila uthibitisho inabaki kama reference ya kujifunzia kusubiri uthibitisho
 
watu wanamuulizia barafu!!..we unakuja kuzungumza vitu gani!!!?..au unajua alipo
 
Wewe huoni kuna kitu kinapwaya...?
Nimeguswa na uzi huu....Barafu ni katika watu waliokua wanafanya JF iishi matarajio ya wadau wake, wanachama na wasio wanachama, anaijua taaluma yake na hivyo kua ni kitabu tosha cha rejea kwa wenyekutaka kujua mambo yahusuyo anga na usafiri wake. Naunga mkono hoja ya kumtafuta ili kama yupo hai aje aendelee kutoa madini na kama ni kinyume chake tujue pia
 
Dah, umeongea mpaka nimesisimka, wasije kua walichukua alivyowageuka kwa kuwakosao juu hii iliyotia juzi.
 
Atakuja tu ila Dude ndio limeshatua na septemba litakuwa India
 
Best yangu huyu, sijui yupo wapi kikweli?!

Mungu amsaidie tu popote alipo, awe salama!
 
Anakula zake kuku ulaya, sasa hivi anapiga pindi madogo class
 
Back
Top Bottom