thegreat1510
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 1,408
- 3,633
Mara ya mwisho alitoa masaa 24 na tishio kali sana kwa samia na genge lake.
Kwa alivokuwa anazungumza inaonekana lilikuwa ni jambo lilio ndani ya uwezo wake kuwadhuru magaidi hawa.
Kinachonishangaza ni ukimya wake tangu siku hio, hata attempt yoyote haijaonekana hata kwa hawa askari wadogo ambao alidai hawana ulinzi.
Nini kilimkuta na kwanini hatoi update yoyote ya Kaka yake?.