Yuko wapi atakayenifaa?

Yuko wapi atakayenifaa?

Unataka kuoa na umri huu utakufa kabla ya siku zako huu umri ni wa kula raha tu kuoa baadae mi nimekupita na 2 lakini bado sijawaza kuoa kabisa ila kama uko tayari oa tu kaka
Syo kwa kuanza kuoa kk..nikujihusisha na mahusiano kabla au nje ya ndoa,,niwaze kuoa na maisha haya ya magufuli..thubutuuu##@
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom