luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,150
- 21,802
tulia Dogo bado unanuka Maziwa, labda kama unataka Wa kufanyia mazoezi kuona kama na dushe kako kanafanya kazi.Nina miaka 23 ndugu#@
tulia Dogo bado unanuka Maziwa, labda kama unataka Wa kufanyia mazoezi kuona kama na dushe kako kanafanya kazi.Nina miaka 23 ndugu#@
A/c zako zinasoma tarakimu ngapi za tsh?embu acha tamaa,wekeza nguvu na akili zako ktk kutafuta pesa na mengine yatakuja automatically.Nina miaka 23 ndugu#@
Mwenyw ubavu na mm hajanibahatisha nahic anaendelea kunitafuta[emoji18] [emoji18]Ww umeingia?!
Mh ...!Nina miaka 23 ndugu#@
Hahahaaa. ....wahaya bwana.. .!huwa wanakugombaniaje? FafanuaMi sijaayaanza lakini ni muhimu kuingia katika mahusiano kama ni kuoa kabisa tafuta mtu sahihi wapo sana tu
Mi hua wananigombania sana wakati bado sijawaza kuingia rasmi huko
Ww mgumu sana?!Mwenyw ubavu na mm hajanibahatisha nahic anaendelea kunitafuta[emoji18] [emoji18]
Mbona umeguna??#Mh ...!
Duuuuuh..[emoji20] [emoji20] [emoji20] [emoji20]tulia Dogo bado unanuka Maziwa, labda kama unataka Wa kufanyia mazoezi kuona kama na dushe kako kanafanya kazi.
Nimeupenda sana ushauri wako..hakika ntaufanyia kazi##@A/c zako zinasoma tarakimu ngapi za tsh?embu acha tamaa,wekeza nguvu na akili zako ktk kutafuta pesa na mengine yatakuja automatically.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] nawapisha#@Mwenyw ubavu na mm hajanibahatisha nahic anaendelea kunitafuta[emoji18] [emoji18]
Nmeipenda hyo..[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]![]()
Kazi kwako
Ahsante sana sana kwa ushauri mzuri [emoji120] [emoji120] [emoji120]Kabla ya chochote kukifanya mshirikishe Mungu Kwa Kila jambo
Second unatakiwa nawe uwe mwema coz Mungu hukupa wa kufanana nawe
usisahau kumshirikisha n mwenza yupi unaemtaka
Usisahau Kua mstahmilivu Kwa sababu umuombapo hakupi on spot yataka uvumulivu Na subira
Kila la heri
Umry ni namba vyovyote inaandikwa##@
Mmmh..[emoji125] [emoji125] [emoji125]Nilijua ungenifaa, ila bado mdogo sana naona. Endelea kuomba Mungu atakupa aliye sahihi kwako
Ha! Ha! Ha..[emoji2] [emoji2] [emoji2]Bro tafuta mapema saana Kabla hujawa Rais wa Chaputa!
Kwahiyo kesho ukisema una 29 tukubali tu kwa kua ni namba vyovyote inaandikwa?Umry ni namba vyovyote inaandikwa##@
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Khaaaa, kumbe bado unanuka maziwa mdomoni! waza na plan namna ya kupata pesa kwanza madem watajileta tu wenyewe kama kuku kwa nyeti za kicheche wewe unabana tu (anus) unajilia mzigo.
KaribuuAhsante sana sana kwa ushauri mzuri [emoji120] [emoji120] [emoji120]