Mkuu, kwa waliosoma Cuba wamekuelewa, issue inahusu "fahari ya mama"Yuda ni yuda haijalishi kama ni yuda wa wakati uleee wa Yesu au wa wakati huu Mama ndio kila kitu.
Barabara ikijengwa ni Mama.
Matundu ya vyoo yakijengwa ni Mama.
Hospital ikijengwa ni Mama.
Hela zote ni Mama.
Sasa huyu Yuda wa Peramiho katokea wapi,anataka kuzika fahari ya Mama.
Ngongo na genge lake tukutu tunajiandaa kwa maandamano makubwa ya kupinga katiba mpya
Katiba mpya haitaleta ugali mezani.Mahitaji na matarajio ya Watanganyika ni kurekebisha hii ya sasa ili kumuongezea Mama muhula mwingine wa miaka 5.
Ngongo kwa sasa kibandani kwa Sheikh Mwaipopo.
Yuda nyokoYuda ni yuda haijalishi kama ni yuda wa wakati uleee wa Yesu au wa wakati huu Mama ndio kila kitu.
Barabara ikijengwa ni Mama.
Matundu ya vyoo yakijengwa ni Mama.
Hospital ikijengwa ni Mama.
Hela zote ni Mama.
Sasa huyu Yuda wa Peramiho katokea wapi,anataka kuzika fahari ya Mama.
Ngongo na genge lake tukutu tunajiandaa kwa maandamano makubwa ya kupinga katiba mpya
Katiba mpya haitaleta ugali mezani.Mahitaji na matarajio ya Watanganyika ni kurekebisha hii ya sasa ili kumuongezea Mama muhula mwingine wa miaka 5.
Ngongo kwa sasa kibandani kwa Sheikh Mwaipopo.
Hivi mnadhani watanzania wa sasa ni Gen X wale wa mwaka 1964?! Mnatuonaje?Yuda ni yuda haijalishi kama ni yuda wa wakati uleee wa Yesu au wa wakati huu Mama ndio kila kitu.
Barabara ikijengwa ni Mama.
Matundu ya vyoo yakijengwa ni Mama.
Hospital ikijengwa ni Mama.
Hela zote ni Mama.
Sasa huyu Yuda wa Peramiho katokea wapi,anataka kuzika fahari ya Mama.
Ngongo na genge lake tukutu tunajiandaa kwa maandamano makubwa ya kupinga katiba mpya
Katiba mpya haitaleta ugali mezani.Mahitaji na matarajio ya Watanganyika ni kurekebisha hii ya sasa ili kumuongezea Mama muhula mwingine wa miaka 5.
Ngongo kwa sasa kibandani kwa Sheikh Mwaipopo.
Wewe na Mwenzako Tumia akili....kwa hii post yako 1 tu!... sasa imenifungua akili kuwa ninyi ni project ipi?Huyu ndio yule alietajwa na Tumia akili,MTU humble visionary,calm, intelligent and truthfully atakaefanikisha next stage!!
Wanamwita Brother!!
Hatujui atapenyaje hapo kwa strong hold,hatujui game inachezwaje huko deep lakini labda desert mission!!
Ngoja tuone naona ameanza kuungana na kina lisu na heche kwenye kupigania katiba mpya!!
Sio ishara mbaya !!!