Bandugu, huyu mshikaji yupo wapi? au ndio byebye, kama jack masamaki anavyokwisha sasa ( magamba noma)
Bandugu, huyu mshikaji yupo wapi? au ndio byebye, kama jack masamaki anavyokwisha sasa ( magamba noma)
huyu lau masha yeye vipi, baba riz bado hajampa shavu tu?Wiki mbili zilizopita nilikutana naye pale Regency Hotel Mikocheni/Msasani akiwa na Lau Masha, Makalla na wenzao wakipiga maji kama hawana akili! Walikuwa na Totoz pembeni yao, nadhani wale walikuwa mamiss!
Kwani Condom ikishatumika ina kazi gani?
Meku lekana na matusiKwani Condom ikishatumika ina kazi gani?