Yu wapi Sioi Sumari?

Yuko kwenye list ya wabunge wa viti maalum sorry wabunge wa kuteuliwa....
 
mbona yupo nimemwona juzi kirudisha barua ya maombi ya kazi alipokuwa akifanya kazi
 
Mara baada ya matokeo ya ubunge wa Arumeru huyu bwana sijamsikia kabisa kisiasa au ndio karudi kwao, kama ilivyokkuwa inasemwa kuwa huyo bwana sio raia wa tanzania. Mwenye taarifa zake atupe 'updates'
 
atakuwa hajarudi kwao Kenya kweli...?...aibu zote zile hata mimi usingenisikia....ccm bana....hivi walifikiria nini kumsimamisha yule jamaa.....?
 
Ni takriban mwaka mmoja na miezi kadhaa sasa tangu ufanyike Uchaguzi mdogo wa kumpata mbunge ktk Jimbo la Arumeru Mashariki baada ya kufariki kwa aliekua Mbunge wa jimbo hilo Marehemu SOLOMON SUMMARI.

Katika uchaguzi huo uliekua na Ushindani mkubwa kati ya Mgombea wa Ccm ambae ni mtoto wa aliekua mbunge wa jimbo hilo marehe Solomon Summari na Mgombea wa CDM Mh Nassari uliishia kwa Bwana Nassari Kuibuka mshindi dhidhi ya Sioyi Summari mgombea wa CCM!

Tangia kuisha na kushindwa kwa bwana Sioyi ktk uchaguzi huo sikuwahi tena kimsikia au kumuona bwana mdogo huyu ktk ulingo wa Siasa.
Je sio huu ndio wakati wa bwana Sioyi kujijenga kisiasa na kujitokeza hadharani ktk majukwaa ya Siasa hasa kipindi kama hiki cha uchaguzi mdogo wa Madiwani jijini Arusha ili kuendelea kujinadi ili kuweza tena kusimama ktk uchaguzi mkuu ujao 2015.?

Nauliza yuko tena yuko wapi Sioyi Summari je yupo hai Kisiasa au amesha Zikwa Kusiasa na Kina Nape kwani hawakumtaka tangia mwanzo isipokua alishinda tu kura za maoni Ccm kwa ajili ya nguvu ya pesa!
 
jamaa kashapotezwa na dogo janja na asahau tena ile jimbo kwani imekaa vibaya kwake.
 
Wana jf, tangu uchaguzi wa arumeru mashariki ulipoisha na kijana machachari wa chadema (joshua nasari) kuibuka mshindi dhidi ya sioi sumari(ccm) ambaye ni mkwe wa lowassa.hatujawahi kumsikia tena..wala hatuja sikia akitoa mchango wowote ule kwa chama chake ccm.je yuko wapi? Nini hatma yake kisiasa? Mwenye habari zake atujuze.karibuni sana wana jf.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom