Yu wapi Sauda Mwilima wa Star TV? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yu wapi Sauda Mwilima wa Star TV?

Discussion in 'Celebrities Forum' started by SirBonge, Apr 30, 2012.

 1. S

  SirBonge JF-Expert Member

  #1
  Apr 30, 2012
  Joined: Jul 18, 2010
  Messages: 349
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 60
  mani zimepita siku kadhaa sasa huyu mwanadada maarufu kwa kufanya interviews na wasanii haonekani luningani..Je ameacha kazi? yuko likizo au imekuwaje? si vibaya tukajua alipo kwani ni maarufu kwa nafasi yake
   
 2. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #2
  Apr 30, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Yupo honey moon
   
 3. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #3
  Apr 30, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,294
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Ana mimba kubwa sana ukimuona huwezi kumtamani wala kumjua kama ndio yule sauda cheupe wa kujikoboa kama maimatha rafiki yake. hawezi kurudi runingani hadi akajifungue nahisi inaweza kuwa baada ya miezi mitano hivi toka sasa
   
 4. Asnam

  Asnam JF-Expert Member

  #4
  Apr 30, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 4,268
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 135
  duh mwenzio kaimbiwa dada huyo anaolewa mahari ishatolewa kwa kifupi yuko fungate.
   
 5. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #5
  Apr 30, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,068
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  kaolewa mkuu.
   
 6. s

  silent lion JF-Expert Member

  #6
  Apr 30, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 537
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Kweli wakuu yuko zenji tulimuona juzi na lijamaa nafikiri ndo mumewe. Ila ucku nilipishana nao aisee ni noma yaani Saida kavaa nguo aibu tupu kama changu vile hadi nikajiuliza inakuwaje mtu unaruhusu mwanamke wako atembee uchi
   
 7. K

  Kassim Awadh JF-Expert Member

  #7
  May 1, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 887
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Ni kihiyo sana yule Sauda,elimu ya kuunga unga ndo maana ukiangalia kwa makini interviews zake hazijawahi kuwa na mashiko sana,ni ule ulimbukeni tulionao wengi wa kumzimia mtu kisa anaonekana kwenye tv!
   
 8. S

  SirBonge JF-Expert Member

  #8
  May 1, 2012
  Joined: Jul 18, 2010
  Messages: 349
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 60
  Mkuu watangazaji wengi Bongo ni vihiyo, sasa kwa kuwa hatuna alternative inabidi tuwaangalie tu tutafanyaje sasa!
   
 9. B'REAL

  B'REAL JF-Expert Member

  #9
  May 2, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 3,101
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Sauda1.jpg Sauda2.jpg ulikuwaaa unamtakaa sheh!!umechelewaaa
   
 10. gbrother

  gbrother JF-Expert Member

  #10
  May 3, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 409
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  sasa ako kanguo kauchi alikapiga na hilo 2ndu lake (mimba) ?
   
Loading...