Mwaka Jana nilifika pale Lumumba mara kadhaa; Nilimkuta akiwa anazurura zurura mle ndani. Kimsingi nadhani kazi aliyotakiwa kuifanya alivyoingia CCM alishaimaliza kitambo.
Kwa upande wa hoja zake; Mara ya Mwisho nilimuona ITV kwenye mjadala wa Katiba (mwaka 2011- kama sikosei) Akiwa anatetea kwamba Watanzania hatuhitaji katiba Mpya.Alikuwa na Sengondo Mvungi na mtu mwengine mmoja ambaye simkumbuki.Basi watu wote walibaki wanamshangaa; akadai si msimamo wake bali wa CCM.
CC.
Mtela Mwampamba
Juliana Shonza