Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,453
- 872,062
Mambo si mabaya kivile ila hata huko imebanaAfadhali, maana niliona kimya nikapata hofu Sana, halafu nilitaka kuchangaranga waraka wa pili wa mshana jr nikasema ngoja nione kwanza umekaa Angle gani ndo nikagundua haupo hewani, vipi lakini majumuisho ya kikao yemeenda vizuri? Mmefikia malengo ya first semister?