Yu wapi Mshana Jr?

Yu wapi Mshana Jr?

Mara ya mwisho, nilikutana nae kariakoo shimoni akiuza NDIMU, ila alinizuga kuwa hohhhooo mkewe mjamzito, anamnunulia ndimu nikakaaa sehemu kujificha baada ya nusu saa niliskia akiitia ndimu, ndimu mpelekee mkeo ndimu atulizze kichefu chefu.
 
[emoji15] [emoji12] [emoji36] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nipo kiongozi tulikuwa na kikao cha kumaliza nusu mwaka kule kilingeni niko huru sasa
Afadhali, maana niliona kimya nikapata hofu Sana, halafu nilitaka kuchangaranga waraka wa pili wa mshana jr nikasema ngoja nione kwanza umekaa Angle gani ndo nikagundua haupo hewani, vipi lakini majumuisho ya kikao yemeenda vizuri? Mmefikia malengo ya first semister?
 
Back
Top Bottom