Haya jamaa wanahitaji msaada
Haya jamaa wanahitaji msaada
Alimtukana sudi kwenye u heardAlipopata zile tunzo,Clouds wakataka kumfanyia Kama tafrija kumpongeza,akawatukana."siwezi kufanya kazi na radio ya kise...nge",akamwagana naWalter kabla ya kupatana,wakati huo fitina zikaanza hakuna kupiga nyimbo yake,FM radio nyingi zikampotezea...ukichanganya na uvutaji bangi na mtindo wa maisha wa hovyo kijana akapotea.
Mkuu bora jani kuliko ngadaNgada na jani ni kitu kimoja