Yu wapi mke wa Rais Mama Salma? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yu wapi mke wa Rais Mama Salma?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nickname, Mar 9, 2011.

 1. nickname

  nickname JF-Expert Member

  #1
  Mar 9, 2011
  Joined: Dec 20, 2009
  Messages: 516
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Jamani wana JF naomba kuuliza,yu wapi First Lady mama Salma Kikwete?.Siku hizi simsikii kabisa na hata jana kwenye maadhimisho ya miaka mia moja ya siku ya wanawake duniani sijamsikia.

  Tatizo ni nini au ndoa imeingia mushkeri?Wenye taarifa zake naomba mtujulishe.
   
 2. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Hata mimi nashangaa simsikii sana siku hizi. hajajitokeza kumtetea mumewe kutokana na kibano anachokipata kwa kibano cha maandeamano ya CDM -- na hii inashtua zaidi kwa sababu alimtetea sana wakatai wa kampeni za uchaguzi mwaka jana.
   
 3. Bigjahman

  Bigjahman JF-Expert Member

  #3
  Mar 9, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 644
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  Yuko kwa BABU Loliondo
   
 4. S

  Silas A.K JF-Expert Member

  #4
  Mar 9, 2011
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 807
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Hakuna taarifa rasmi lakini inasemekana afya yake ilileta mushkeli kidogo,na kuna hilo la kwenda Loliondo lakini nalo halina uhakika sana. Nafikiri kwasababu ni first lady tutapata taarifa rasmi tu labda kama wataogopa watu/vigagula kummalizia!
   
 5. komedi

  komedi JF-Expert Member

  #5
  Mar 9, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 204
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mbona kamera yangu ya tega uone imempata akiwa katikati ya jiji juzi tena akiwa katika hali ya kawaida kabisa, bila msafara bila mbwembwe anapiga window shopping tu.

  Jana yenyewe alikuwa uswahilini kabisa akiwapa nauli kinamama kibao waliokuwa wakielekea viwanja vya zakheem mbagala kwa ajili ya maandamano ya siku ya wanawake. sasa wewe hujamwona wapi huko? Au kwenye tukio la jana la kutoa nauli ulitaka auze sura?

  Mi naona utafute picha yake ubandike bed room kwako usijepata presha kwa kummisss!!!!
   
 6. M

  Marytina JF-Expert Member

  #6
  Mar 9, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,034
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  kuna tetesi kuwa alikuwa Mwembechai kwa yule gagulo Shehe Yahya mgawa majini akifukiza majini kwa staili isiyoeleweka.
   
 7. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #7
  Mar 9, 2011
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  The main first lady of the country is around no doubt,but the rest are still in world tour.
   
 8. I

  I LOVE U Member

  #8
  Mar 9, 2011
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  madam yuko safari nje ya nchi anaterejea kesho saa 9 mchana

   
 9. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #9
  Mar 9, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Atakuwa LOLIONDO anajaza madumu ile dawa ya babu aje nayo magogoni awe anagonga kama chai kila dakika
   
 10. Ulimbo

  Ulimbo JF-Expert Member

  #10
  Mar 9, 2011
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 678
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45


  Unamtakia nini mke wa mtu? Je unafahamu waliko wanawake wote? Mbona uhulizi wako wapi?

  Mimi sidhani kujadili mambo ya ndani (Binafsi) ya watu inaleta tija kwa Taifa.
   
 11. komedi

  komedi JF-Expert Member

  #11
  Mar 9, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 204
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tafadhali Size, sio mimi ninayemuulizia. mwambie nickname! loh! hapa nilipo natetemeka mpk, mpka,...mpaka nashdwa kuadika......
   
 12. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #12
  Mar 9, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  yupo kwenye foleni
   
 13. Fisadi Mkuu

  Fisadi Mkuu Member

  #13
  Mar 9, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona naskia kajifungua?
   
 14. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #14
  Mar 9, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,924
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  ulikuwa kichwani mwangu, tangu jana nilikuwa najiuliza hilo swali,sina sikuanzisha thread kwani nilikuwa bize nafuatilia mambo ya arsenal na barca!!
   
 15. G

  Giddy Mangi JF-Expert Member

  #15
  Mar 9, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 833
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Anapanda maua kwake Chalinze
   
 16. Msikilizaji

  Msikilizaji JF Gold Member

  #16
  Mar 9, 2011
  Joined: Nov 6, 2008
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Maybe she decided to have a breather kidogo!
   
 17. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #17
  Mar 9, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  kipindi anajitokeza zana kwenye public kuna watu mkawa mnapiga kelele,leo haonekani mnamuulizia.
  afanye lipi liwe jema?
   
 18. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #18
  Mar 9, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,137
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  ahahahahahahahaaaaa kweli we komedi loh> Mshikaji amamiss mke wa President loh!
   
 19. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #19
  Mar 9, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,808
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Huyu hapa:

  [​IMG]
   
 20. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #20
  Mar 9, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,710
  Trophy Points: 280
  Yuko kwenye miradi yake Chalinze!
   
Loading...