Yu wapi Mama Janeth Magufuli?

Ukimtoa jesca watoto wengine wote wa marehemu mzilanKENDE niliwajua kwenye msiba wake
 
Kuna jamaa mmoja huko facebook alipost picha yake! Juz kati hapa! Halafu mama kanawiri kweli kweli ! Sijui hata ina maanisha nin!
 
Anamalizia shule yake pale misungwi
 
Ila wabongo bhana angekua anaonekana onekana wangeongea tena Muache Mama apumzike kufiwa simchezo na pia anaonekana sio mtu wa Macamera sana,mbona hukuuliza mama Anna,mama Maria
 
Mbona huulizi first gentleman yuko wapi wakati tunaona Hangaya anapuyanga peke yake.
Huulizi Siti
Anna mkapa
Salma

Tumia akili zako vizuri najua una bifu na JPM.
 
Muache apumzike na atengeneze historia yake mpya. Hakuna kitu kibaya kama kuitwa mjane wa Mwendazake Magufuli.

Anajuwa namna mumewe alivyowakwaza watu, kwa kuua, kudhulumu fedha, kuwafukuza kazi, kuiba kura za uchaguzi nk.
 
kawachukiwa watanzania hawana wema mnampiga madongo marehemu mumewe jpm unafikiri anafurahia
 
Muache apumzike na atengeneze historia yake mpya. Hakuna kitu kibaya kama kuitwa mjane wa Mwendazake Magufuli.

Anajuwa namna mumewe alivyowakwaza watu, kwa kuua, kudhulumu fedha, kuwafukuza kazi, kuiba kura za uchaguzi nk.
Unachuki sana wewe, Mungu anakuona, hauko salama
 
Unachuki sana wewe, Mungu anakuona, hauko salama
Mungu ananiona na ananipa thawabu nyingi. Yeye mwenyewe ameagiza kwenye biblia kuwa tumkatae shetani. Magufuli alikuwa ni shetani kwenye mwili wa binadamu
 
Sukuma gang wamefadhaishwa sana na kifo cha mungu wao sasa wamebaki wanaweweseka tu.
Sasa wamejipa kazi ya kuanzisha nyuzi zisizo na kichwa wala miguu kila wakati.
Yesu alikufa akafufuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…