yu wapi malaria sugu?

yu wapi malaria sugu?

Mtende

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2010
Posts
6,385
Reaction score
7,335
wana jamvi sijamuana malaria sugu looong time nadhani since sheikh yahaya alipoaga dunia sasa sielewi malaria yu wapi au ndo kashikilia nafasi ya sheikh yahaya?
 
Alikwenda MCHUKU Mission Hospital kupasuliwa busha. Welikam bak Malaria Sugu, bila shaka umerudi na kabusara kidogo
 
umeridhika naona.... Kaja mwenyewe,maana hatajwi huyo...
 
tunasubiri thread zako kwa hamu kubwa kiongozi wetu. Nalog off
 
Malaria Sugu amefungua tovuti yake na kama kawa ina nembo ya CCM picha za CUF
 
Back
Top Bottom