Black hermit
JF-Expert Member
- Mar 20, 2017
- 658
- 955
Tangu huyu bwana atangaze kujiengua chama cha kijani na kujivua ubunge sijamsikia tena na wala sijaona mchakato wowote wa kupata mrithi wake jimbonu kwakwe, mwenye taarifa rasmi na jinsi mchakato unavyoendelea anijuze tafadhali.