NgugiAchebe
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 1,024
- 688
Nikiwa kama mpiga kura wa jimbo la Ubungo Nakumbuka baada, ya kuchagulia na kutangazwa kwa mshindi wa jimbo la ubungo kwa, kwelu tuliona kama tumepata mtetezi mzuri sana wa jimbo letu.
Alianza na swala la kiwanda cha urafiki akagombana na aliekua mkuu wa wilaya ya kinondoni wakati huo mh paul makonda sasa mkuu wa mkoa
Akuishia hapo akaanza, na harakati zake za, kukomboa shirika la uda toka kwa, mikononi mwa watu binafsi kurudi kwa wananchi zote hizo harakati zake zikaishia hewani kwani kila alipo kanyaga alikuta kizingiti cha mtoto wa mjini mwenzake makonda wazee wa siasa za fitina
Kma mjuavyo makonda
Nasikia kubenea amepotea hewani kwa sabbu ya chama chake hafuraishwi na mambo yanavyokwenda, pale ufipa democrasia inafinywa, ili upate uongozi lazima ujuane na mkuu pale ufipa bila hivyo hupati
Yu wapi Kubenea?