Yu wapi Jaji John Tendwa?

Kuna msemo usemao shetani hana rafiki!!

Leo nimekumbuka aliyekuwa msajili wa vyama vya siasa aliyepata kutikisa anga la siasa Za Tanzania kwa mbwembwe huku akionesha waziwazi kuibeba CCM!!

Tendwa alijawa kiburi, Jeuri na majivuno hasa!! Mara nyingi aliapa kukifutia usajili chama cha CHADEMA kiasi kwamba chama hicho kilitangaza kutoshirikiana nae!!

Nimejiuliza tu Leo yu wapi huyu mtangulizi wa Mutungi? Ya wapi matambo yake? Ki wapi kiburi chake? I wapi jeuri yake?

Anayejua alipo atujuze!!


Hii ni rejea kidogo ya siku Za nyuma
Kumuulizia mtu aliyetumiwa na chama cha mashetani (CCM) yuko wapi ni sawa na kuulizia condom uliyotumia miaka kumi iliyopita iko wapi. Kondom huwa zinatupwa jalalani tena zikiwa ndani ya mifuko ili zisionekane kabisa au kutumbukizwa kwenye vyoo vya shimo kabisa, ndivyo na hao mashetani wa CCM huwa wanawafanyia watu waliowatumia wakamaliza kazi zao.
 
Kweli mkuu kuna kipindi walimtoa hadi kwenye gazeti la mwananchi anafatilia mafao yake ikulu hata humu watu waliponda sana wakasema kwanini wakati yuko kwenye power hakushiriki kuweka mifumo sawa mpaka mambo yanakuja kumuharibikia nazani ali mess up na system waka m fix
Huyu jaji Liundi babake mtangazaji Taji Liundi au ? Jaji Liundi si marehemu tokea 2014 au nimezeeka sana !!
 
Kuna kipindi alilalamika kutelekezwa na jamhuri ktk ugonjwa wake
Ni vizuri waendelee kumsahau. Na hapa mtakuwa mmewakumbusha na huenda aakapata shavu. Haya yalimtokea pia yule mwenyekiti wa tume uchaguzi kule Kenya enzi za Kibaki (Mr Kivuitu RIP). Alipovuruga matokeo kama vile Jecha
Watawala wakishakutumia hawana tena habari nawe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom