Yu wapi Jaji John Tendwa?

Tatizo sio msajili wa vyama vya siasa aliyepita (Tendwa) au hata huyu aliyepo Mutungi bali tatizo ni kuendelea kuwa na katiba iliyotungwa na clique ya chama kimoja inayolinda mfumo wa status quo.
 
Yupo namuonaga sana Mahakama ya Kinondoni, lile jicho moja naona ndio limekufa kabisa... Ila hapandi st... Tena

Jr
acha ushamba atapandaje wakati kastaafu, mtakalia hivyo hivyo kuombea na kufurahi matatizo ya wenzenu, nyie mnajua baregu yuko wapi na ana hali gani?
 
Back
Top Bottom