Yu wapi IGP Mangu?

Yu wapi IGP Mangu?

Ni muda mrefu umepita IGP Ernest Mangu hajaonekana hadharani wala kwenye media hasa ukizingatia katika vita ya madawa ya kulevya tungependa kusikia msimamo wake upoje.

Jana kwenye mkutano wa wakuu wa Majeshi ya Polisi kwa Nchi za Kusini mwa Afrika uliofanyika mjini Bagamoyo hakuwepo na badala yake aliwakilishwa na IGP Msaidizi Kaniki.

Ukimya wake unatutisha sisi wananchi hasa ukizingatia kwasasa tetesi ni nyingi kuhusu uhusiano wake na Kiranja.

Mwenye kujua atujuze alipo IGP Mangu.
YUKO KWAO ANALIMA ALIZETI
 
Tuition mkuu
Ha ha ha haaaaaa,, ndo mnakitowaga kwa Ras Simba au kwa Muchunguzi open school au kwa Kivuli cha Mvumo open school hapa Morogoro? Sawa mkuu utakielewa tu usife moyo,, si unaona kuna jamaa mpaka anaogopa kutoka kwenye fence ya nyumba yake shauri ya Ki-English?!! Ila siku nyingine badala ya now days useme tu "nowadays".
 
Sawa mtaalamu wa lugha.
 
Back
Top Bottom