Yu wapi IGP Mangu?

Yu wapi IGP Mangu?

Pengine igp alitaka ukweli utoke juu ya ben saa nane lkn akakatazwa
 
Ni muda mrefu umepita IGP Ernest Mangu hajaonekana hadharani wala kwenye media hasa ukizingatia katika vita ya madawa ya kulevya tungependa kusikia msimamo wake upoje.

Jana kwenye mkutano wa wakuu wa Majeshi ya Polisi kwa Nchi za Kusini mwa Afrika uliofanyika mjini Bagamoyo hakuwepo na badala yake aliwakilishwa na IGP Msaidizi Kaniki.

Ukimya wake unatutisha sisi wananchi hasa ukizingatia kwasasa tetesi ni nyingi kuhusu uhusiano wake na Kiranja.

Mwenye kujua atujuze alipo IGP Mangu.
Mtoa mada shikamoo...
 
Yametimia tayari
 
Back
Top Bottom