King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 60,341
- 88,512
Dr Azaveli Lwaitama kapotea sana.
Nasikia huwa anakuja studio na bodaboda hata kazini hivohivo hivi ni kweli!!?Dr.Exzavel Rwaitama hupo hapa Tumaini University tawi la Bukoba Nyakato.Mara nyingi tunashiriki nae kwenye kipindi cha Pole na Kazi redio Vision FM mkuu
Atakuwa ameridhika sasa nchi imepata KIONGOZI na mambo yapo kwenye RIGHT TRACK.Dr Azaveli Lwaitama kapotea sana.
Anatembea Kifua "MBERE".Atakuwa ameridhika sasa nchi imepata KIONGOZI na mambo yapo kwenye RIGHT TRACK.
huenda oblongata yako umeme unamis!umeme haufiki woteWalikuwa wanaongea kipindi kile kwasababu kulikuwa na cha kucriticize. Sasa hawaongei kwasababu hakuna cha kucriticize!
xizani!Anatembea Kifua "MBERE".
Wamestaafu wapo majumbani mwao wanalea wajukuu,nenda kawasalimie.Nimemis nondo zake sana. Alipaswa kuwa Professor sijui nini kilitokea.
Prof Shivji naye alikuwa anatufundisha vizuri sana kuhusu katiba mpya ghafla kauvyata.
Nakumbuka mwaka fulani chuo nilimuuliza swali (Sikumuelewa)Nimemis nondo zake sana. Alipaswa kuwa Professor sijui nini kilitokea.
Prof Shivji naye alikuwa anatufundisha vizuri sana kuhusu katiba mpya ghafla kauvyata.
Nope viko vingi sana na makubwa sana. Sema tu uki critisize kwa sasa unaonekana mkaidi, msaliti, na unafanyiwa kitu mbaya.Walikuwa wanaongea kipindi kile kwasababu kulikuwa na cha kucriticize. Sasa hawaongei kwasababu hakuna cha kucriticize!