Radio vision naikubali sana ni radio ya maana kuliko ile ya kagashekiDr.Exzavel Rwaitama hupo hapa Tumaini University tawi la Bukoba Nyakato.Mara nyingi tunashiriki nae kwenye kipindi cha Pole na Kazi redio Vision FM mkuu
Magufuli sio MagufuriWamemkubali jembe Magufuri sasa waongee nini , wanaona kazi inafanyika lands waje kusifia hapo nyumbu mtavuka mto Mara na kutimkia Kenya

Hujasikia Rwaitama leo NkurumaWalikuwa wanaongea kipindi kile kwasababu kulikuwa na cha kucriticize. Sasa hawaongei kwasababu hakuna cha kucriticize!
Wamemkubali jembe Magufuri sasa waongee nini , wanaona kazi inafanyika lands waje kusifia hapo nyumbu mtavuka mto Mara na kutimkia Kenya
Bwana huyo ndio kazidi kuwa na ulimbukeni wa UPROPESA aliopewa na hao fisiemu mpaka anataka kuua ndugu zake ama kweli ROHO ni chafu mpaka wamesema PESA NDIO SABUNI YA ROHOLipumba ndiyo kafungwa mdomo na pesa za fisiem
Leo yupo kwenye mdahalo wa swala la muungano , mubashara unarushwa na itv.
Pia anafundisha SAUT ,na anafanya vipindi mbalimbali vya radio kuelimisha jamii ya ktz
Nani anapenda kulala korokoroni!Nikimkumbuka huyu mzee nakumbuka pia wasomi wengi waliokuwa wanaikosoa serikali pale ilipokuwa inakosea.Ukosoaji ulikuwa kupitia midahalo mbalimbali pamoja na vipindi vya redio na Televisheni lakini Leo hii wote wapo kimya.
Kupitia midahalo na makongamano hayo tuliwafahamu akina pro.Kabudi, Dr.Bana, Dr.Bashiru, Pr.Baregu na wengineo ambapo ukosoaji wao uliwaleta majukwaani akina Mtatiro, Mkumbo,Polepole,Mnyika,Nasarry nk wakiiga yale mazuri yaliyofanywa na wazee hao kwa manufaa ya Taifa.
Kwa Sasa makundi ya wazee na vijana kwa pamoja yapo kimya si majukwaani tu bali hata kwenye vyombo vya habari na wengi wao wamejiunga katika serikali na kufifisha ndoto zao za kuibui hoja kinzani kuifanya serikali iendane na matakwa ya wananchi.
Ninapomtafuta Dr.Rwaitama naombeni mnisaidie kuwatafuta na wasomi wengine tujue walipopotelea maana tunahitaji mashauri Yao.......
Wasomi wengi wa Tanzania hawajiamini.Kama wewe una elimu nzuri hunasababu ya kujipendekeza name Serikali.Kazi ziko tele nchi nyingi.Ila kama elimu yako no yakina Bashite lazima ujipendekeze.Nikimkumbuka huyu mzee nakumbuka pia wasomi wengi waliokuwa wanaikosoa serikali pale ilipokuwa inakosea.Ukosoaji ulikuwa kupitia midahalo mbalimbali pamoja na vipindi vya redio na Televisheni lakini Leo hii wote wapo kimya.
Kupitia midahalo na makongamano hayo tuliwafahamu akina pro.Kabudi, Dr.Bana, Dr.Bashiru, Pr.Baregu na wengineo ambapo ukosoaji wao uliwaleta majukwaani akina Mtatiro, Mkumbo,Polepole,Mnyika,Nasarry nk wakiiga yale mazuri yaliyofanywa na wazee hao kwa manufaa ya Taifa.
Kwa Sasa makundi ya wazee na vijana kwa pamoja yapo kimya si majukwaani tu bali hata kwenye vyombo vya habari na wengi wao wamejiunga katika serikali na kufifisha ndoto zao za kuibui hoja kinzani kuifanya serikali iendane na matakwa ya wananchi.
Ninapomtafuta Dr.Rwaitama naombeni mnisaidie kuwatafuta na wasomi wengine tujue walipopotelea maana tunahitaji mashauri Yao.......
Nikimkumbuka huyu mzee nakumbuka pia wasomi wengi waliokuwa wanaikosoa serikali pale ilipokuwa inakosea.Ukosoaji ulikuwa kupitia midahalo mbalimbali pamoja na vipindi vya redio na Televisheni lakini Leo hii wote wapo kimya.