Yu wapi Anna Hazare wa Tanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yu wapi Anna Hazare wa Tanzania?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Game Theory, Aug 18, 2011.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Aug 18, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  [​IMG]


  Sasa hivi huyu babu anaitingisha serikali ya India kwa kuongoza mgomo wa Kufunga Swaumu ya kutokula katika style ya Mahatma Ghandi. He is in his 70's lakini amekuwa inspiration kwa watu wote wapinga rushwa India.

  Sisi na corruption sawa na chura na maji...na ukiangalia sana utaona kuwa watawala wetu waliopo madarakani ni wale wale waliolelewa na Nyerere na walioandaliwa na Mwalimu ambaye kwa kiasi fulani hakuwa corrupt lakini tazama the Mwinyis, the malecelas, the Mkapas, na wengineo walivyojilimbikizia ardhi ambazo hawaziendelezi.

  The same applies to vyama vya upinzania ambavyo ni kama mapacha wa chama tawala

  Believe it or not leo hii utaona kampeni zinapigwa kuona wale wale wazee waliotufikisha kwenye hili balaa wanafanyiwa kampeni wagombee urais in the next 4 yrs

  We are a lost & hopeless generation
   
 2. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  bump..................
   
Loading...