You've been waiting long enough...E153u-1, E153u-2, E173u-1, E173u-2 unlock is ready!!!!!!!!

mkuu wapo wataalamu wengi sana humu wenye kujua hizo site ila kwa njia hiyo hapo juu huwezi unlock hizi modem ambazo ni customised firmware. amini ninachokuambia nimeshafanya risachi nyingi sana kuhusu hizi customized firmware.

Ahaaa hapo nimekusoma kumbe zina customised firmware. .
Je hiyo custoised firmware haiweze kuwa updated ? Au modem iliyokuwa hivi kuwa updated lazima iuganishwe na kifaa fulani kama dc unlocker.?

Toa hata shule kidogo CP
 
hata dc unlocker hawafungui. check kwenye site yao. nilishajaribu nikapata msg firmware not supported. nafkiri hata wakuu wengine humu wanalijua hilo.

shule!! ngoja niandae material. lakini itawafaa wale wenye kufanya kazi ya unlocking maana kama m2 anamodem moja tu itam-kost, coz lazima uwe na a simple box ( not free)
 
Powa CP leo udadavuzi wangu na uchokonozi ngoja niisihie hapa teh teh teh teh .Siku za mbele ukimwaga shule tutapeana challenge na knowledge zaidi.
 
Tigo New ModEm kwisha kazi

Baada ya kukaa macho masaa 48 nikihangaikia tigo modem kwisha kazi
Steps
1. Download mkey v.4.0.9 or later
2. Run mkey and easily unlock the modem with customized firmware (kama hz mpya)

It will permanently unlock the modem and the description is short and clear and looks some thing like this
Mkey_under_reality.gif
 
Ndio mkuu ata mimi nilkuwa najua mkey ina unlock sasa tatizo kuipata kama unayo iupload mkuu au ata tupe link ya kuweza kuidownload for free
 
Ndio mkuu ata mimi nilkuwa najua mkey ina unlock sasa tatizo kuipata kama unayo iupload mkuu au ata tupe link ya kuweza kuidownload for free

Mkuu usiingie mkenge ukanunua hiyo mkey ukadhani itafungua modem ya tigo e153 no way by now. hata airtel kwa mkey ni muziki kwasasa.

so far Mkey v5.0.5 inafungua hizi za operator wa india na urusi tu. angalia kwenye red.

Huawei modems [Direct Unlock, R/W NVM]
- Huawei E1732 Customized Firmware 11.126.16.00.356
India Idea
- Huawei E1732 Customized Firmware 11.126.16.01.356 India Idea
- Huawei E1550 Customized Firmware 11.608.14.00.356 India Idea
- Huawei E1550 Customized Firmware 11.609.20.02.356 India Idea
- Huawei E1550 Customized Firmware 11.609.20.03.356 India Idea
- Huawei E153 Customized Firmware 11.609.20.11.356 India Idea
- Huawei E171 Customized Firmware 11.126.15.00.161 Russia Beeline

Mkey v5.0.5 Build: 14.NOV.2011 - GSM-Forum
 
Tigo New ModEm kwisha kazi

Baada ya kukaa macho masaa 48 nikihangaikia tigo modem kwisha kazi
Steps
1. Download mkey v.4.0.9 or later
2. Run mkey and easily unlock the modem with customized firmware (kama hz mpya)

It will permanently unlock the modem and the description is short and clear and looks some thing like this
Mkey_under_reality.gif

Mkuu umeshaijaribu? au ni maelezo umekuta kwenye forum. nina mkey toka ikiwa kwenye old project lakini sijafanikwa kufungua nayo modem hizi za tigo,airtel wala safaricom.
 
Oh so bila iyo hardware der is no way out? And wat hardware is that and na ni software gani inafanya kazi along side it?
 
yani hiyo kuanzia v.4.0.9 ya mkey kuendelea zina unlock customized firmwares kama ulizozitaja ila ya tigo ni almost similar na hizo au kama ina kuzingua download moja ya hizo fimware ulizoziandika then install kwenye modem yako halafu mkey itaidetect halafu itaiunlock
 
Calvin nimekaribia kucreate firmware yangu mwenyewe ambayo nimefanyia settings za ukweli yani not only HSDPA lakini very soon hata EVDO itaweza kuwa detected. Nime iredifine source code yake na hapa ndo naitumia na run further tests kabla ya kuiupload ili nisiharibu modem za wadau kama kuna bug
 
sikilizeni wadau kama unaona hizo zinazingua kwa nini usichukue sola gsm calculator ni chini ya dakika moja kuunlock temporarily jamaa anazingua tu hakuna networking device yeyote ambayo ina ireprogram modem trust me anaweza kuwa mkabaji/mbakaji .
 
Mbona mkuu kama cikupati vile? We si umesema umefanikiwa na umetumia mkey then ingekuwa vyema utupe iyo link ya kuidownload au uipload na utupe procedure ulizo tumia mpaka ulivo iunlock PERMANENTLY @great genius
 
sikiliza nimetumia njia nyingi kuunlock PERMANENTLY

1. Install customized firmware nyingine kama jamaa alizoonyesha hapo juu then tumia mkey kuiunlock
2. Using linux apt settings (works on linux only)
3. Using my brand new firmware (works but i am still testing it )

Mkey inapatikana online but kupata original shughuli sana but nita post link soon
 
Ok mkuu will be waitin na tunapaswa kuinstall firmware ipi specifically au wewe ulitumia ipi? Na umeinstall vp iyo firmware?
 
yani hiyo kuanzia v.4.0.9 ya mkey kuendelea zina unlock customized firmwares kama ulizozitaja ila ya tigo ni almost similar na hizo au kama ina kuzingua download moja ya hizo fimware ulizoziandika then install kwenye modem yako halafu mkey itaidetect halafu itaiunlock

mkey haiwezi kufungua hata kama utaweka firmware ya hizo ambazo zipo unlocked. mkey ili waweze kuweka operator unayotaka wewe kuna process ambayo ni ngumu sana kwao na ndo maana zipo operator chache tu. hata DC unlocker wanaoperator chache. ingekuwa kwa kuweka firmware inafunguka basi wasingekuwa wanaweka list ya operator wanazozifungua.
angalia hapa chini jinsi mkey walivyowababaishaji angali hiyo model ni sawa tu na ya tigo yaani E153u-1, hii ni operator ya egypt inaitwa etisalat. ila kama unataka ku-unlock lazima uwe na pisi 10 000. jiulize kwaniniiii.
E153Eu-1 Etisalat Eygpt - GSM-Forum
 
sikiliza nimetumia njia nyingi kuunlock PERMANENTLY

1. Install customized firmware nyingine kama jamaa alizoonyesha hapo juu then tumia mkey kuiunlock
2. Using linux apt settings (works on linux only)
3. Using my brand new firmware (works but i am still testing it )

Mkey inapatikana online but kupata original shughuli sana but nita post link soon

mkey haifungui modems ambazo hawajaorodhesha
checki hapa

can the mkey unlock the e1733u-1 mobinil - GSM-Forum
 
Back
Top Bottom