Youtubers tukutane hapa

Je ni app gani ambayo ulisha wahi kutumia au unaotumia kufanya editing za video kwa kuweka vitu vingi kama maandishi na vitu vingine.
Tujuzane ili na wengine tuijaribu
Mimi natumia InShot Pro KineMaster ilinishinda kitu kimoja, Inapokua ina Export project inatakiwa iwe mbele ya screen, Ukiweka background inacancel kingine iko slow japokua ina ma features kibao sana..

InShot naweza tengeneza project angu then kwenye ku Export na minimize naendelea na mambo mengine mpaka imalize sijui wenzangu wana maoni gani..
 

KineMaster best sana japo ina water mark ila ukidownload nje ya play store haina
 
Ni shiida sana..saiv nimehamia vimeo
 
Shukurani mkuu lakini hiyo si ina watermark
 
Kweli hapo ni changamoto lakini jitahidi kufanya editing hata kwenye sauti ongeza vitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…