Toka jana me nililiona hili jambo, nikaingia humu kusearch kama kuna mada ya hivo ila sikuonaTCRA hawa wacheza na mtandao kuficha madudu ya ccm
Mbona mi naingia kote kawaida tuTayari YouTube na Tick-tock zishapitiwa bado Instagram na Facebook , na Whatsapp
Nazo bila shaka Hadi kesho hazitakuwepo
Unaleta taharuki, tumia VPNYoutube wana shida gani leo au wanasystem wameanza mambo yao?
Yaani youtube muda huu imegoma kbs kufunguka au wamezima
Kuna vpn moja natumia ya india huko yaani inajikonekt inakotaka yenyewe mara nipo California mara CameroonHahaha kama wanauwezo wafte vpn tuone
Duuuh aiseeeKuna member mpya huyo ni spy chunga akija inbox mkabadilishana namba umeishaaaaa
Youtube wana shida gani leo au wanasystem wameanza mambo yao?
Yaani youtube muda huu imegoma kbs kufunguka au wamezima