Youtube kwenye blackberry curve

Youtube kwenye blackberry curve

mak89

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2012
Posts
1,072
Reaction score
914
Nimejaribu kila ujanja ila kwenye kuplay youtube video imeshindikana, jaman mwenye ujuzi tujuzane maana bila youtube kwangu nakosa vitu vingi sana

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
bundle yako haihusiani na kustream unga bundle ya kawaida mfano xtream ya siku then utaweza kustream
 
bundle yako haihusiani na kustream unga bundle ya kawaida mfano xtream ya siku then utaweza kustream

"The media player cannot support" ndicho ninacho ona wakati najaribu kuplay youtube video
 
Bundle ya siku haiungi kabisa wao wana bundle zao maalum

umemueelewa chief? Hyo bunde ya blackbery haisuport kuangalia vdeo inabd utumie bundle ya kawaida. Then jarbu ku download youtube application ... Nenda crackberry au store yoyote au hata getjar.com utaipata hyo app.... Hope umetuelewa mkuu
 
Nimejaribu kila ujanja ila kwenye kuplay youtube video imeshindikana, jaman mwenye ujuzi tujuzane maana bila youtube kwangu nakosa vitu vingi sana


Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
umemueelewa chief? Hyo bunde ya blackbery haisuport kuangalia vdeo inabd utumie bundle ya kawaida. Then jarbu ku download youtube application ... Nenda crackberry au store yoyote au hata getjar.com utaipata hyo app.... Hope umetuelewa mkuu



Blackberry lazima uweke package zake za internet lasiivyo hupati internet kwenye simu yako, haikubali configuration zetu za kawaida za internet,, kuhusu media player ya youtube, hapo inbuilt media player haina uwezo wa kuplay youtube videos,, download "Vuclip" application ya simu hapa ( https://appworld.blackberry.com/webstore/content/10954/ ) itaconvert video za youtube kuwa format inayoweza kuplay kwenye BlackBerry,,
 
Back
Top Bottom