YouTube is down this time

CCM na serekali yao wana fanya yote hayo ni waoga kupita kiasi ila matamasha yao ya mziki wao wana weka kirahisi kabisa hawataki tusikilize sera wanataka tusikilize miziki
IMG_20200902_162049.jpg
 
Mpigie simu Robertson wa Amsterdam umwambie mtandao wa YouTube Tanzania upo slow ataishitaki Tanzania
 
Muda huu mtandao wa YouTube hauwezi kutumia ipo chini sana.lakini unaweza kuangalia sites nyingine bila tatizo lolote na network ipo very strong. Je tatizo ni nini? Ni sababu za kisiasa tusiangalia habari za Tundu Lissu?
Kuna subotage kubwa sana inafanywa juu ya Chadema this time. Wameona wamewabana Chadema kwenye vyombo vya habari hivyo wataonekana kwenye social media.

Kilichofanyika sasa ni kuweka jam kwenye social media ikiwemo youtube ili kampeni za Chadema zisiwafikie watanzania wengi.

Sio huko tu, hata kwenye michango ya pesa za kampeni kwa Chadema Kuna fitna inafanywa pesa ukituma inarudishwa.

Nakwambia ndugu. Tanzania tumefika hatua mbaya sana ya kiutawala. Kwa haya yote, mie nimeshaamua, nimsikie Lissu au nisimsikie, Kura yangu mwaka huu ni kwake na kwa wagombea wa Chadema.
 
Hawa watu wamechokwa, na wanafahamu kuwa wamechokwa! Hawana tena ushawishi wa hoja, ni wepesi sana kuliko hata pamba!

Wanajua kabisa kwa njia za hoja hawawezi kushindana na chadema. Kilichobaki sasa ni kutumia njia zao za kishetani shetani kupambana na mpango wa Mungu.

Ila wajue tu Mungu hajawahi kushindwa na shetani hata siku1, aibu yao fisiem na mwenyekiti wao jiwe!
 
Muda huu mtandao wa YouTube hauwezi kutumia ipo chini sana.lakini unaweza kuangalia sites nyingine bila tatizo lolote na network ipo very strong. Je tatizo ni nini? Ni sababu za kisiasa tusiangalia habari za Tundu Lissu?

Ndio...ni kwa sababu za kisiasa..vipi bado hautumii VPN mkuu?.kama bado download proton VPN then install kwa simu yako..ni bure..baada ya hapo YouTube kama kawa
 
Mbona sasa hapo mwishoni mwa 'Maelezo' yako hujasema 'courtesy of Kigogo2014 ' Mkuu? Tusidanganyane bila 'Jamaa' kutushtua tusingeijua hii.
 
Kuna subotage kubwa sana inafanywa juu ya Chadema this time. Wameona wamewabana Chadema kwenye vyombo vya habari hivyo wataonekana kwenye social media.

Kilichofanyika sasa ni kuweka jam kwenye social media ikiwemo youtube ili kampeni za Chadema zisiwafikie watanzania wengi.

Sio huko tu, hata kwenye michango ya pesa za kampeni kwa Chadema Kuna fitna inafanywa pesa ukituma inarudishwa.

Nakwambia ndugu. Tanzania tumefika hatua mbaya sana ya kiutawala. Kwa haya yote, mie nimeshaamua, nimsikie Lissu au nisimsikie, Kura yangu mwaka huu ni kwake na kwa wagombea wa Chadema.
Msikate tamaa.mtawapa ushindi wapinzani wenu.mnatakiwa kuendelea kupambana mpaka mwisho
 
Back
Top Bottom