YouTube is down this time

YouTube is down this time

Ndio...ni kwa sababu za kisiasa..vipi bado hautumii VPN mkuu?.kama bado download proton VPN then install kwa simu yako..ni bure..baada ya hapo YouTube kama kawa
Sawa najiunga na VPN muda huu niweze kupata habari za Chadema.
 
Muda huu mtandao wa YouTube hauwezi kutumia ipo chini sana.lakini unaweza kuangalia sites nyingine bila tatizo lolote na network ipo very strong. Je tatizo ni nini? Ni sababu za kisiasa tusiangalia habari za Tundu Lissu?

Hadi gmail pia hali ni tete ilikua ukiattach vitu vinachukua muda mrefu kuupload. Hata kitu cha mb1.
 
Inatakiwa kutafuta mbinu mbadala maana mawasiliano yote yapo controlled na TCRA
 
Muda huu mtandao wa YouTube hauwezi kutumia ipo chini sana.lakini unaweza kuangalia sites nyingine bila tatizo lolote na network ipo very strong. Je tatizo ni nini? Ni sababu za kisiasa tusiangalia habari za Tundu Lissu?
Lissu anamjua nani huko you tube?
 
Mkuu kweli bhana wameiweka iwe down , tumia VPN download play store problem solved
 
Sawa najiunga na VPN muda huu niweze kupata habari za Chadema.
Nipo France.
Screenshot_20200903-075411.jpg
 
Back
Top Bottom