Your true enemy is always behind you

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
280,550
729,445
c03de9c47a42eba24f7ad5f17a9a7538.jpg
 
Mh hatari sana, hapa maskani kuna vijana wadogo huwa wanakuja,nataniana nao kumbe vina tabia ya udokozi,mida hii ndo nagundua kuna vifaa vyangu vya mazoezi havipo...na hii ni mara ya tatu sasa naibiwa vitu...i wish nipate mbinu ya kuwakomesha..wameniboa sana.Huo msemo umekaa sawia kabisa,
 
Mh hatari sana, hapa maskani kuna vijana wadogo huwa wanakuja,nataniana nao kumbe vina tabia ya udokozi,mida hii ndo nagundua kuna vifaa vyangu vya mazoezi havipo...na hii ni mara ya tatu sasa naibiwa vitu...i wish nipate mbinu ya kuwakomesha..wameniboa sana.
Wategeshee maji ya betry kwenye Kopo au chupa kisha remba kwa lebo ya kupendeza
 
Mshana jr ndio unatoa ushauri huu?
Yeah...! Kuna usemi wa waingereza unasema do bad things to bad people...! Imagine mtu unamchukulia poa kama mshikaji na kumuamini halafu kumbe nyuma yako anakufanyia vitu vya ajabu
 
Mh hatari sana, hapa maskani kuna vijana wadogo huwa wanakuja,nataniana nao kumbe vina tabia ya udokozi,mida hii ndo nagundua kuna vifaa vyangu vya mazoezi havipo...na hii ni mara ya tatu sasa naibiwa vitu...i wish nipate mbinu ya kuwakomesha..wameniboa sana.Huo msemo umekaa sawia kabisa,
Pole Mkuu Bob Marley aliimba hivi kwenye wimbo wake wa Who the cap fit "Man to man is so unjust, children:
Ya don't know who to trust.
Your worst enemy could be your best friend,
And your best friend your worse enemy.

Some will eat and drink with you,
Then behind them su-su 'pon you.
Only your friend know your secrets,
So only he could reveal it.''
 
Back
Top Bottom